PostGE2025 Serikali ilikana kufungia kanisa la Gwajima, leo Waziri Mkuu anawezaje kusema kanisa litafunguliwa?

PostGE2025 Serikali ilikana kufungia kanisa la Gwajima, leo Waziri Mkuu anawezaje kusema kanisa litafunguliwa?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna muda hata sheria inaweza kukufanya kujua sheria ili mradi ubongo uwe unakwenda na wakati na muda.

Gwajima alipotaka haki kuhusu utekaji na hapo hapo alifungiwa makanisa bila serikali kutoa maelezo ila tuliona polisi wakizuia sehemu zake.

Leo hii Waziri Mkuu unasema unafungua kanisa ina maana ndio kazi yenu kila awamu tokea kupata uhuru mkijikana kuwa sio nyie iliyopita.

Usijeshangaa Rais Samia kusema 4R zilikuwa awamu nyingine sasa yeye samuke wa mariziano.
 
Back
Top Bottom