Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wilaya ya temeke imekua chungu kwa mikia and co
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja dar kutokea wapi,??mi ninezaliwa dar enzi hizo mzani uko ubungo stendi ya mkoa ikiwa kisutu na mnazi mmoja,sinema tukiendq avalon,new chox,empire,empress,drive in,cameo na star light,nimesomea mnazi mmoja primaryna Tambaza i,Temeke ni wilaya ibaongoza kwa wahuni na maisha duni,wahuni wa kinondoni na mwananyamala wana unafuu sana na n8 asilimia ndogo mno,we umeongelea kinondoni kama kata,mi naongelea temeke kama wilaya,ukitoa kijichi na chang'ombe hakuna sehemu naweza kuishiKaja Dar ndio anajifanya anajua..
Kinondoni kulikojaa mateja na machangudoaanakuona kwa wadtaarabu.
Niliwahi kusafiri kwa gari yangu binafsi kutoka Dar es Salaam mpaka Kibiti. Lengo langu lilikuwa ni kununua shamba kubwa kuanzia ekari tano ndani ya umbali wa meta mia tatu kutoka barabara ya Kilwa ambayo ni ya lami. Nilichoambiwa na wenyeji ni kuwa maeneo yote yamenunuliwa na watu kutokea Dar es Salaam. Wamo wahindi, waarabu, wapemba, wachina na swahili na maeneo machache bado yako mikononi mwa wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa. Ila ninaishi Temeke kwa washamba na wahuni. Ningekuwa na akili za kijinga za aliyeanzisha huu uzi ningeliuza hilo shamba ili nikanunue nyumba Ununio ya kulala na kuamka ili niwe karibu na uwanja wa KMC niweze kupata urahisi wa kuangalia mechi pale zinapokuwepo kutokea Ununio kwa washua!!!!Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Nkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.
Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini,
Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa.
Mimi binafsi huwa naenda uwanja wa Mkapa kwa matukio muhimu ya kiserikali, mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi.
Temeke kuna wahuni wengi sana na hawana uwezo kiuchumi, siwezi kutoka Ununio eti niende Taifa kuabgalia mechi ya Simba na Namungo.
KMC wametufungua macho, mpira sasa unapendwa na kada zote,wastaarabu na wasomi.
Uwanja wa KMC hata mechi ndogo ukiweka kiingilio cha 10000 unajaa.
Pia soma: Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao
Jimbo la Kawe na Kinondoni ndio majimbo ya watu wenye uwezo hapa Daslam na Tanzania kwa ujumla. 10,000 kwa wakazi wa Temeke ni hela nyingi mno.
Hongera KMC, nawasihi Simba msirudi kwa Mkapa labda kwenye derby tu.huo ndio uwe uwanja wenu, kwanza Mwenge na Bunju sio mbali.
Haters mpooo
Kwamba mkapa ipo mafichomi....karibu Dar bafo hunjatembeaSipo Dsm kwa sasa Ila Apo Mwenge nikiwa Dsm nitakuwa naenda pako vizuri ila Kwa Mkapa palikuwa Mafichoni alafu kule kwa wahuni sana.
Goba mpaka Mwenge ni chap kwa haraka
Hujaelewa Mada MzeeNiliwahi kusafiri kwa gari yangu binafsi kutoka Dar es Salaam mpaka Kibiti. Lengo langu lilikuwa ni kununua shamba kubwa kuanzia ekari tano ndani ya umbali wa meta mia tatu kutoka barabara ya Kilwa ambayo ni ya lami. Nilichoambiwa na wenyeji ni kuwa maeneo yote yamenunuliwa na watu kutokea Dar es Salaam. Wamo wahindi, waarabu, waswahili wachache na maeneo machache bado yako mikononi mwa wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa. Ila ninaishi Temeke kwa washamba na wahuni. Ningekuwa na akili za kijinga za aliyeanzisha huu uzi ningeliuza hilo shamba ili nikanunue nyumba Ununio ya kulala na kuamka ili niwe karibu na uwanja wa KMC niweze kupata urahisi wa kuangalia mechi pale zinapokuwepo kutokea Ununio kwa washua!!!!
Huo ni mfano tunajua ila haufuti ukweli kuwa temeke imejaa wahuni tuNiliwahi kusafiri kwa gari yangu binafsi kutoka Dar es Salaam mpaka Kibiti. Lengo langu lilikuwa ni kununua shamba kubwa kuanzia ekari tano ndani ya umbali wa meta mia tatu kutoka barabara ya Kilwa ambayo ni ya lami. Nilichoambiwa na wenyeji ni kuwa maeneo yote yamenunuliwa na watu kutokea Dar es Salaam. Wamo wahindi, waarabu, waswahili wachache na maeneo machache bado yako mikononi mwa wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa. Ila ninaishi Temeke kwa washamba na wahuni. Ningekuwa na akili za kijinga za aliyeanzisha huu uzi ningeliuza hilo shamba ili nikanunue nyumba Ununio ya kulala na kuamka ili niwe karibu na uwanja wa KMC niweze kupata urahisi wa kuangalia mechi pale zinapokuwepo kutokea Ununio kwa washua!!!!
Wewe ndio huelewi Tatizo mnachoangalia ni kwamba Kwa Mkapa Ipo karibu na Mjini...Hamjui kuwa saivi watu wengi hawaishi Posta wala Kkoo.Kwamba mkapa ipo mafichomi....karibu Dar bafo hunjatembea
Wahuni wapo mpaka hapa Washington DC.Huo ni mfano tunajua ila haufuti ukweli kuwa temeke imejaa wahuni tu
Atakua kaja juzi mjini tmk ni middle income citizenskwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini au watu wa chini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk ni masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Nimeielewa vizuri tu.Hujaelewa Mada Mzee
Sembuse Temeke.Wakna P didy,Nas escobar,Mase,wahuni wa New York
Wako maeneo yote ya mkoa wa Dar es Salaam. How they are spread does not matter at all lakini wapo kila mahali.Dah haya nitajie hao low income wako wilaya gani kama sio wilaya ya temeke
Wewe sio mpenzi wa mpira. Miaka kumi haujaingia mpirani! Hasa kipindi hiki upo kwenye peak za mafanikio!mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi
Zamani huyo P. Diddy tulikuwa tunamuita Puff Daddy. Ni mhuni tu. Kuwa mhuni haina maana kuwa hana hela.Wakna P didy,Nas escobar,Mase,wahuni wa New York
Ukisoma mwandiko wake utajua tu kaja Dar ukubwani. Ukimweleza utamchanganya!kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini au watu wa chini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk ni masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …