Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Kaja Dar ndio anajifanya anajua..
Kinondoni kulikojaa mateja na machangudoaanakuona kwa wadtaarabu.
Nimekuja dar kutokea wapi,??mi ninezaliwa dar enzi hizo mzani uko ubungo stendi ya mkoa ikiwa kisutu na mnazi mmoja,sinema tukiendq avalon,new chox,empire,empress,drive in,cameo na star light,nimesomea mnazi mmoja primaryna Tambaza i,Temeke ni wilaya ibaongoza kwa wahuni na maisha duni,wahuni wa kinondoni na mwananyamala wana unafuu sana na n8 asilimia ndogo mno,we umeongelea kinondoni kama kata,mi naongelea temeke kama wilaya,ukitoa kijichi na chang'ombe hakuna sehemu naweza kuishi
 
Niliwahi kusafiri kwa gari yangu binafsi kutoka Dar es Salaam mpaka Kibiti. Lengo langu lilikuwa ni kununua shamba kubwa kuanzia ekari tano ndani ya umbali wa meta mia tatu kutoka barabara ya Kilwa ambayo ni ya lami. Nilichoambiwa na wenyeji ni kuwa maeneo yote yamenunuliwa na watu kutokea Dar es Salaam. Wamo wahindi, waarabu, wapemba, wachina na swahili na maeneo machache bado yako mikononi mwa wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa. Ila ninaishi Temeke kwa washamba na wahuni. Ningekuwa na akili za kijinga za aliyeanzisha huu uzi ningeliuza hilo shamba ili nikanunue nyumba Ununio ya kulala na kuamka ili niwe karibu na uwanja wa KMC niweze kupata urahisi wa kuangalia mechi pale zinapokuwepo kutokea Ununio kwa washua!!!!
 
Hujaelewa Mada Mzee
 
Huo ni mfano tunajua ila haufuti ukweli kuwa temeke imejaa wahuni tu
 
Kwamba mkapa ipo mafichomi....karibu Dar bafo hunjatembea
Labda angetumua tafsida kuwa kuko kushoto,mi huwa napita temeke mara moja kwa mwaka nikienda viwanja vya sabasaba, kwenye maonyesho ya biashara,sina cha kunipeleka huko
 
Atakua kaja juzi mjini tmk ni middle income citizens
 
hoja yako ni nini uwezo wa watu au uhuni??unakujua? K'koo? kuna wizi wa kila aina kila aina unaojua wewe je wale wezi wote ni wakazi wa K'koo?? kiufupi ni hivi wezi na vibaka wanaangalia fursa ilipo wanaitumia

huko Kawe na Temeke kuna utofauti gani mkuu kwenye swala zima la ustaarabu na hali ya maisha?

nenda ukaone akina mama wanavyolizwa wakitoka kwa Mwamposa
 
mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi
Wewe sio mpenzi wa mpira. Miaka kumi haujaingia mpirani! Hasa kipindi hiki upo kwenye peak za mafanikio!
Dar es salaam imebadilika inaonekana upo mkoani na hujui lolote . Ulishawahi fika mjini Miaka ya nyuma sana na bado una stori za kukariri.

Uhuni ulishapotea. na hata kipindi hicho bado wanaopenda mpira waliingia na hawakupata matatizo yoyote. Na kwa taarifa yako wengi wanaoingia Benjamin Mkapa ni wakazi wa Temeke. Ungejengwa huko unaposema usingejaa.
 
Ukisoma mwandiko wake utajua tu kaja Dar ukubwani. Ukimweleza utamchanganya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…