Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume.
Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na kutangaza matukio ambayo awali walisema watu wanaolalamika Wana lengo la kuzusha taharuki.
Maneno hayo yenye lengo la kuficha maovu ya vyombo vya Dola, yalisaidia waovu nje ya serikali kujiona wako salama na kuendelea mauaji huku vyombo vya Dola vikikaa kimya Kwa kudhani waliofanya ni wenzoo.
Dhambi husababisha aibu katika kuchukua hatua.