Serikali ilipobariki mchezo wa Kuteka na kupoteza wakosoaji, Wahuni nao wakaona hii ndiyo nafasi

ULizq leo South africa ni watu wangapi wanatekwa kila siku, huko imefikia mahali kumteka mtu ni kama tu kukwapua simu, ni jambo la kawaida sana, sasa tusiombe hawa wahuni wa kwetu nao waka advance na kuwa proffesional kidnapers, tutakwisha, hata hivyo, kuna watu ambao labda wapo kwenye moja ya vyombo vya dola wanaotumia gap hiyo kufanya mishe zao binafsi za utekaji,na hao ni hatari zaidi, maana wakiona kuna hatari ya kuwa exposed wanaweza kumuua victim kabisa ili kupoteza ushahidi, its so bad though!
Ndiko tunakoelekea maana Polisi wanaogopa kuchunguza bàadhi ya matukio walodhani ni wenzao.
 
Wahalifu wamepata mwanya kutokana na system kuanza kuwanyamazisha wakosoaji bila kufuata sheria. Dawa ni wananchi kujilinda dhidi ya hao maharamia.
Huu unabaki kuwa ukweli mpaka Polisi watakapoacha kushiriki utekaji.
 
Yaani kipindi hiki ndo cha kuwalia taiming adui zetu na kuwapoteza, na hamna wa kutufatilia
 
ULizq leo South africa ni watu wangapi wanatekwa kila siku, huko imefikia mahali kumteka mtu ni kama tu kukwapua simu, ni jambo la kawaida sana, sasa tusiombe hawa wahuni wa kwetu nao waka advance na kuwa proffesional kidnapers, tutakwisha, hata hivyo, kuna watu ambao labda wapo kwenye moja ya vyombo vya dola wanaotumia gap hiyo kufanya mishe zao binafsi za utekaji,na hao ni hatari zaidi, maana wakiona kuna hatari ya kuwa exposed wanaweza kumuua victim kabisa ili kupoteza ushahidi, its so bad though!
Inatisha, tusifike huko.
 
Back
Top Bottom