Sijawahi kusikia Serikali ikitoa Baraka kwa UtekajiKwani uongo John
Duh,Maneno hayo yenye lengo la kuficha maovu ya vyombo vya Dola, yalisaidia waovu nje ya serikali kujiona wako salama na kuendelea mauaji huku vyombo vya Dola vikikaa kimya Kwa kudhani waliofanya ni wenzoo.
Serekali pia inafanya hayo mauji, shida haifahamiki nani anafanya kwa kiwango gani.Ni kweli kabisa hili, na washenzi watauana sana ikiaminika ni serikali maana imeshaibariki hiyo kazi.
Awadh ni mtumishi wa naniSijawahi kusikia Serikali ikitoa Baraka kwa Utekaji
Hii kitu nilishaluona na nilishasemaga kitambo!Ni kweli kabisa hili, na washenzi watauana sana ikiaminika ni serikali maana imeshaibariki hiyo kazi.
Wanatoa baraka za mission hizo chini ya carpet bwasheh, hakuna serikali duniani isiyofanya utekajiSijawahi kusikia Serikali ikitoa Baraka kwa Utekaji
Tatizo sio baraka, shida ilipo ni kwamba hata wewe unaweza kuteka mtu ukampoteza(sababu za kufanya hivyo ni zako binafsi)Sijawahi kusikia Serikali ikitoa Baraka kwa Utekaji
Point kubwa sana hii ....watu wabaya nao wanapita humu humu....afu haya mambo yanfanywa na watu maskini we fatilia utaonaBaba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume.
Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na kutangaza matukio ambayo awali walisema watu wanaolalamika Wana lengo la kuzusha taharuki.
Maneno hayo yenye lengo la kuficha maovu ya vyombo vya Dola, yalisaidia waovu nje ya serikali kujiona wako salama na kuendelea mauaji huku vyombo vya Dola vikikaa kimya Kwa kudhani waliofanya ni wenzoo.
Dhambi husababisha aibu katika kuchukua hatua.
Unauliza au unapigia jibu mstari?Unao ushahidi wa Serikali kubariki Utekaji? 🐼
Ubabe ubabe tu sahiviTatizo sio baraka, shida ilipo ni kwamba hata wewe unaweza kuteka mtu ukampoteza(sababu za kufanya hivyo ni zako binafsi)
mtu huyo uliye mteka na kumpoteza kama ana julikana alikuwa anatoa kauli za kupinga mienendo ovu ya serikali, basi polisi hawata jihusisha na hiyo kesi wakizani ni kikosi kazi chao ndio kimetekeleza hiyo mission.
Point ya msingi ni kwamba mtu mwenye nia ovu anaweza take advantage ya watu kupote halafu polisi wako kimya.
mfano kama mdude akiwa anakupigia mke wako, mkimpoteza wewe binafsi Polisi wala hawata jihangaisha na wewe watajua tu ni task force imefanya yao.
Ni jukumu la polisi kulinda usalama wa watu wote hata kama watu hao ni wahalifu.