Serikali iliruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini ikasema Waislamu wajilipie wenyewe

Serikali iliruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini ikasema Waislamu wajilipie wenyewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?

Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia hiyo au nia njema. Wala hakuna haja ya kutaka inajisi mahakma tukufu na pesa za makafir wanazotoa kodi kwa kunywa pombe,kitimoto n.k ianzishwe kwa pesa safi za waislamu safi kabisa wasio na longo longo.
 
Kwani haipo? Mbona kuna misikiti huko mikoani utakuta imeandikwa mahakama ya kadhi, wajigharamie wemyewe hii nchi si ya kiislam na hatutaki uchuro huo kama huko kaskazini mwa nigeria raia hawana uhuru kufurahia nchi yao watakavyo
 
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?

Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia hiyo au nia njema. Wala hakuna haja ya kutaka inajisi mahakma tukufu na pesa za makafir wanazotoa kodi kwa kunywa pombe,kitimoto n.k ianzishwe kwa pesa safi za waislamu safi kabisa wasio na longo longo.
shehe waturejesha tulipotoka. Nyerere alitutoa kwenye Udini na Ukabila. Akafuta uchifu na Mangi na kuweka raisi wa jamhuri.
Mahakama ya Kadhi inahusika na kusimamia na kutatua migogoro inayohusiana na masuala ya Kiislamu kwa wafuasi wa dini ya Uislamu. Majukumu ya Mahakama ya Kadhi hutofautiana kulingana na sheria na muktadha wa nchi husika. Hata hivyo, majukumu yake ya msingi mara nyingi hujumuisha:
Tanzania hatuhitaji makhma ya Kadhi kwakuwa mahakama zilizopo zinatosha, Leo waislamu wakitaka kadhi,, kesho Wakatoliki watataka CANNON law, Wasababto wanataka TORATI na walokole hawataki sheria bali amri 10 za Mungu.Itakuwa fujo sasa.

1. Masuala ya Ndoa

  • Kusuluhisha migogoro ya ndoa kati ya wanandoa wa Kiislamu.​
  • Kutoa maamuzi kuhusu talaka, talaka za Kiislamu (talaq), na urejesho wa ndoa.​

2. Masuala ya Mirathi

  • Kugawanya mali za marehemu kwa mujibu wa sheria za Kiislamu (Sharia).​
  • Kusimamia na kuthibitisha wosia wa Kiislamu.​

3. Masuala ya Malezi ya Watoto

  • Kutoa maamuzi kuhusu malezi ya watoto katika familia za Kiislamu baada ya talaka au kifo cha mzazi mmoja.​

4. Masuala ya Wosia na Wakfu

  • Kusimamia na kutatua migogoro inayohusu wosia wa Kiislamu na wakfu (mali iliyotolewa kwa ajili ya matumizi ya Kiislamu).​

5. Usuluhishi wa Migogoro ya Kiislamu

  • Kushughulikia masuala yanayohusiana na ibada, desturi, au masharti mengine ya Kiislamu yanayowasilishwa kwao na waumini wa Kiislamu.​

Mambo ya Kuzingatia:

  • Mahakama ya Kadhi mara nyingi huwa na mamlaka kwa waislamu pekee, na kwa hiari yao, wanapohitaji kutatua migogoro kwa mujibu wa Sharia.​
  • Katika nchi nyingine, Mahakama ya Kadhi inaweza kuwa na mamlaka rasmi, lakini katika zingine, inaweza kuwa na hadhi ya usuluhishi na si mamlaka ya kisheria.​
  • Mamlaka na nguvu za Mahakama ya Kadhi hutegemea katiba na sheria za nchi husika.​
 
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?

Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia hiyo au nia njema. Wala hakuna haja ya kutaka inajisi mahakma tukufu na pesa za makafir wanazotoa kodi kwa kunywa pombe,kitimoto n.k ianzishwe kwa pesa safi za waislamu safi kabisa wasio na longo longo.
mahakama hiyo ikianza tu kua rasmi, ndipo usilamu utapasuka na kugawanyika kabsaa hasa kuhusu nani awe kadhi mkuu, Suni au Shia, achilia mbali hawa wasilamu wengine wastaarabu wa kihindu n.k🐒
 
mahakama hiyo ikianza tu kua rasmi, ndipo usilamu utapasuka na kugawanyika kabsaa hasa kuhusu nani awe kadhi mkuu, Suni au Shia, achilia mbali hawa wasilamu wengine wastaarabu wa kihindu n.k🐒
Waislamu wa Kihindu sijui kwa nini ni wastaarabu
 
Back
Top Bottom