Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?
Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia hiyo au nia njema. Wala hakuna haja ya kutaka inajisi mahakma tukufu na pesa za makafir wanazotoa kodi kwa kunywa pombe,kitimoto n.k ianzishwe kwa pesa safi za waislamu safi kabisa wasio na longo longo.
mahakama hiyo ikianza tu kua rasmi, ndipo usilamu utapasuka na kugawanyika kabsaa hasa kuhusu nani awe kadhi mkuu, Suni au Shia, achilia mbali hawa wasilamu wengine wastaarabu wa kihindu n.k🐒Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?
Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia hiyo au nia njema. Wala hakuna haja ya kutaka inajisi mahakma tukufu na pesa za makafir wanazotoa kodi kwa kunywa pombe,kitimoto n.k ianzishwe kwa pesa safi za waislamu safi kabisa wasio na longo longo.
Waislamu wa Kihindu sijui kwa nini ni wastaarabumahakama hiyo ikianza tu kua rasmi, ndipo usilamu utapasuka na kugawanyika kabsaa hasa kuhusu nani awe kadhi mkuu, Suni au Shia, achilia mbali hawa wasilamu wengine wastaarabu wa kihindu n.k🐒