Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Labda kama wewe hulipi kodi na unakula na kulala kwa shemeji.Pombe anakuchapa mpaka leo
Kuna umuhimu wa kuanza kunyonga watu vinginevyo kuna siku watu watauza hii nchi.Aisee Mzee Pombe amefilisi hili taifa
Hiyo 60 ni kwa mwaka 2019/2020 na hiyo hasara ya bilioni 150 ni kwa miaka mitano.CAG kasema 60 hao ACT 153 sasa tuamini nani?
Yeuuuuuwwiiiiii.!! Ndio sababu ya watoto wa walipa kodi hawana madarasa, madawati wala walimu wakutosha.Hiyo 60 ni kwa mwaka 2019/2020 na hiyo hasara ya bilioni 150 ni kwa miaka mitano.
Watoto wa wapigiwa kura wanasoma Feza, haya matatizo unayosema ni ya shule za kuzalisha wapiga kura.Yeuuuuuwwiiiiii.!! Ndio sababu ya watoto wa walipa kodi hawana madarasa, madawati wala walimu wakutosha.
Mkuu unazungumzia viongozi gani?Ina maana huna habari kuwa nchi ilikuwa inaongozwa na mtu/malaika mmoja?Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii?
Kwani Mchungaji Msigwa alikosea kumuita marehemu shujaa wa zamani aliyeishi dunia ya sasa. RIP Kinjekitile wetu.Kati ya maamuzi ya hovyo kabisa ni jinsi ATCL ilivyofufuliwa. Everything was done primitively. Kuanzia kununua ndege nyingi mara moja, jinsi zilivyonunuliwa (kwa cash), kununua ndege kubwa bila kujua zitakwenda wapi, na mwisho ule uamuzi wa kuwafukuza Fastjet.
Wakati wa fasjet, Dar - Mwanza return TZS 90,000. Leo TZS 400,000!!
Nilishauri tutulie tuisome hiyo ripoti kea kina wengine walisema wanataka Zitto awachambulie Sasa mnaziona hizo variationsCAG kasema 60 hao ACT 153 sasa tuamini nani?
SHIRIKA NA WAKALATaarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020...
Fastjet Tanzania ilishaanza kujifia ila wengi tunaitolea mfano kiushabiki tu. Kaangalie mlima wa madeni uliokuwa unawamaliza.Kati ya maamuzi ya hovyo kabisa ni jinsi ATCL ilivyofufuliwa. Everything was done primitively. Kuanzia kununua ndege nyingi mara moja, jinsi zilivyonunuliwa (kwa cash), kununua ndege kubwa bila kujua zitakwenda wapi, na mwisho ule uamuzi wa kuwafukuza Fastjet.
Wakati wa fasjet, Dar - Mwanza return TZS 90,000. Leo TZS 400,000!