malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Udini ni simu kwa taifa.
Udini huondoa umoja na uzalendo.
Udini huondoa mshikamano kati ya dini na dini.
Iwapo serikali kwa msisimko au kukurupuka kuingilia masuala ya imani za watu, itafanya kosa kubwa.
kitaka kuwabana wachungaji, mashehe na wale wa dini za jadi, Basi wote wawe kwenye level sawa.
kama wachungaji wanahitajika wawe na shahada hivyo kwa hivyo na kwa mashehe na walimu wa dini na hata wale wa dini za jadi.
Shime Tanzania . Msiige kutoka Rwanda.
Kuiga iga kwa nchi ya rwanda ndio hata sasa jamii ya kimataifa inatushangaa na kutuadhibu.
Rwanda nchi hii imejaa na inanuka damu, Je tanzania tutataka kuwaiga Rwanda? Rwanda wapo hapo kutokana na huko walipo toka.
Simachawene tulizana.