Serikali iliyoshindwa kuendesha Mwendokasi ingeweza Mgodi? Rostam kweli anakwepa Kodi hakunaga muhindi anae penda KULIPA kodi

Serikali iliyoshindwa kuendesha Mwendokasi ingeweza Mgodi? Rostam kweli anakwepa Kodi hakunaga muhindi anae penda KULIPA kodi

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine
Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa

Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili

Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa? Serikali imejaa majizi matupu
 
Kulipa kodi haina cha muhindi, hakuna mtu anayependa kulipa kodi duniani.

Ila pia kitu kingine, hichi kinachoitwa kodi hakina uhalali, ni uwizi tu. Yaani unataka kuchukua fedha za watu burebure halafu unaenda kuzitumbua kwa per diem na misafara ya magari 150.

Huwa hai make sense kabisa, japo wanasema kodi kwa maendeleo, ila ki uhalisia kodi ni pesa kwa ajili ya watawala kuzitumbua. Na pale wanapotaka kufanya maendeleo, wataishia kukopa.

Kodi ni wizi, na ndo maana kila mtu anatafuta mwanya wa kukwepa kulipa kodi. Na ukitaka kujimaliza kibiashara, wewe jifanye unalipa kodi kwa uaminifu, mamlaka watakuletea kodi zaidi na zaidi.
 
Rostam siyo mhindi ni Muajemi, yaani mtanzania mwenye asili ya Iran lakini pia ana uraia wa Kenya na Marekani.
 
Back
Top Bottom