Kulipa kodi haina cha muhindi, hakuna mtu anayependa kulipa kodi duniani.
Ila pia kitu kingine, hichi kinachoitwa kodi hakina uhalali, ni uwizi tu. Yaani unataka kuchukua fedha za watu burebure halafu unaenda kuzitumbua kwa per diem na misafara ya magari 150.
Huwa hai make sense kabisa, japo wanasema kodi kwa maendeleo, ila ki uhalisia kodi ni pesa kwa ajili ya watawala kuzitumbua. Na pale wanapotaka kufanya maendeleo, wataishia kukopa.
Kodi ni wizi, na ndo maana kila mtu anatafuta mwanya wa kukwepa kulipa kodi. Na ukitaka kujimaliza kibiashara, wewe jifanye unalipa kodi kwa uaminifu, mamlaka watakuletea kodi zaidi na zaidi.