Serikali imdhibiti huyu nabii kabla hayajatokea yale ya Shakahola

Serikali imdhibiti huyu nabii kabla hayajatokea yale ya Shakahola

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Anaitwa Boniface Victor au nabii Musa.

Huyu ambaye anapotosha umma.
Nimefuatilia Channel yake YouTube ni kama mtu aliyepagawa.

Anaongea vitu ambavyo havipo kabisa. Hawa vijana waliokosa ajira na kulowea makanisani wanaanzisha Imani za hovyo ambazo si za Kikristo lakini kwakuwa wafuasi ni wale wajumbe ndio watu wasio na ufahamu wanajikuta wakiwaamini na kuwafuata.

Huyu Nabii ni mtu anayetamani mabaya kwa Taifa kila siku. Jumbe zake nyingi ni kutabiri vifo, vifo , vifo.
Ni muhuni aliyevamiwa na roho wachafu.

Ashikwe akae lupango angalau wiki moja huenda mapepo yatamtoka.

Screenshot_20240318-001801.jpg
Screenshot_20240318-001010.jpg
 
Back
Top Bottom