Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
SahihiWajinga Ndio Waliwao..
tuwaokoe mama zetu, wake na dada zetu dhidi ya hawa matapeli kwani ndio waathirika wakuu.
Anasema Dunia mzima yeye ndiye pekee ambaye Mungu anamsikia na anaweza kuongea naye ana kwa anaWajinga Ndio Waliwao..
tuwaokoe mama zetu, wake na dada zetu dhidi ya hawa matapeli kwani ndio waathirika wakuu.
umebadili dp nlishtuka 🤣🤣 nusu nianze kuliaKwanini wamemwacha awapumbaze ivo?
Tazama video zake angalau 5 ndipo utajua huyu kachanganyikiwa.Kwan kasema uongo??
Ugaidi wa Mesheikh ni Matendo zaidi....!Angekuwa shehe angeitwa gaidi, siasa kali,n.k angevamiwa yeye na ukoo wake wangewekwa ndani bila kushtakiwa!!
Anasema Dunia mzima yeye ndiye pekee ambaye Mungu anamsikia na anaweza kuongea naye ana kwa ana
wananyasika na nani? Uache uchochezi, deal na huyu mpotoshaji wa mahubiriYes.
Ni kweli usemayo.
Mimi ni mkristo lakini siungi mkono ushenzi wa namna hii.
Waislamu wananyamyasika sana na mara nyingi hutesana wao kwa wao