Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

Daslm watu wanakimbia katikati ya bara bara na magari yanaenda kwa kasi yao waje kukimbia huku Mbalizi kama huko daslm wakutane na vicheche vya IT anatakiwa aache gari Tunduma awahi kuchukua ingine daslm...
 
Acha yawakutebkama wale wa Mwanza walivyogongwa na gari,kama lengo ni mazoezi kwa nini easitafute kiwanza wawe Wana kimbia kwa kuuzinguka uwanja hata mala 200.
 
Mwaka 1994 nchi ya Tanzania ilimpoteza mwanariadha mahiri hayati Simon Robert Naali kwa ajali ya gari wakati akifanya mazoezi barabarani huko Arusha. Hizi jogging za kwenye lami ni hatari sana kiusalama na kiafya. Mazoezi ya kwenye lami husababisha injuries za miguu ambazo huchukua muda kupona. Wanariadha professional huwa wanakimbia kwenye lami kimkakati sana ila karibu 90% hufanyia mazoezi kwenye rough roads na uwanjani.
 
Kuna siku bodaboda alilazimisha kukatiza wanapopita, wakampiga bao la mgongoni. Alisimama akaangalia kwa uchungu halafu akatikisa kichwa akaendelea na safari.
Aliwadharau sana.
Aisee, nahsi ni boda boda mwenye akili nyingi hakutaka kupambana na kundi la wajinga wengi.
Nasikia Kitenge anazunguka sana duniani, je ni nchi gani kakuta kundi kubwa la watu linakimbia mabarabarani?
 
Shida yetu wabongo ndio hii.. Tushamiliki KA-IST tuu tayar tunaona barabara zote za lami, changarawe na vumbi ni kwa ajili yetu tuu. Watembea kwa miguu wapite misituni wakiwa wanaenda makwao.


#Nina shida na pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…