Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

Je usha wai kukutana na Wanajeshi nao wakiwa wanafanya mazowezi yao barabarani!? Au una muataki Kitenge tu!!??
Wanajeshi huwa wanafanya route match, hawatumii njia zilizo busy. Wakitoka Kunduchi wanapiga maboda hadi Bagamoyo
 
Shida yetu wabongo ndio hii.. Tushamiliki KA-IST tuu tayar tunaona barabara zote za lami, changarawe na vumbi ni kwa ajili yetu tuu. Watembea kwa miguu wapite misituni wakiwa wanaenda makwao.


#Nina shida na pesa.
Unatafuta cheap popularity
 
Katika watu nawaona hawana akili ni mtu anayeacha maeneo mahususi yaliyotengwa kwa ajili ya michezo ( kwenye viwanja vya michezo) kwenda kukimbia kwenye barabarani zilizotengenezwa kwa ajili ya vyombo vya moto.

Kwenye sheria za barabarani hakuna kifungu kinachoruhusu watu kwenda kufanyia mazoezi barabarani. Hawa watu ilitakiwa hata wakigongwa wakabahatika kupona wao ndiy washitakiwe mahakamani . Tukiacha ujinga kuendelea huu ipo siku watu wataenda kufanyia mazoezi ya mpira barabarani.
 
Kukombi
Katika watu nawaona hawana akili ni mtu anayeacha maeneo mahususi yaliyotengwa kwa ajili ya michezo ( kwenye viwanja vya michezo) kwenda kukimbia kwenye barabarani zilizotengenezwa kwa ajili ya vyombo vya moto.

Kwenye sheria za barabarani hakuna kifungu kinachoruhusu watu kwenda kufanyia mazoezi barabarani. Hawa watu ilitakiwa hata wakigongwa wakabahatika kupona wao ndiy washitakiwe mahakamani . Tukiacha ujinga kuendelea huu ipo siku watu wataenda kufanyia mazoezi ya mpira barabarani
Kukimbia barabarani ni kujichora,kwanza huwezi hata ku -concentrate na mazoezi
 
Ni ushamba ULIOTUKUKA...masifa ya kijinga waende huko mpiji ....
 
Ni ushamba ULIOTUKUKA...masifa ya kijinga waende huko mpiji ....
 
Pia si salAma kiafya,unakuwa unavuta mamoshi ya magari na mavumbi
anayetembea na anayekimbia kando ya barabara wote wanavuta hewa chafu. vilevile abiria tunaokaa ndani ya magari tunavuta hewa chafu pia.
sema kukimbia pembezoni barabarani ni adventurous ina raha yake maana kusema unazunguka uwanja sehemu ileile inataka moyo, binafsi nilishindwa. kwa dar sikuwahi kukimbia barabarani sababu siamini akili za mtu mweusi naona ni hatari tupu...tz wengi si madereva ni wakalia usukani.
 
Wanavuta Moshi wote wa magari, baadae wanaanza kutuomba michango wanaugua magonjwa ya mapafu
 
Back
Top Bottom