Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

Mimi simchukii Kitenge, nachukia uhuni na matumizi mabaya ya barabara.
Pia nachukia matendo ya watu kuhatarisha usalama wa maisha Yao na maisha ya watu wengine.
Je usha wai kukutana na Wanajeshi nao wakiwa wanafanya mazowezi yao barabarani!? Au una muataki Kitenge tu!!??
 
Nilikutana nao upanga. Kweli anachosema mtoa mada.
Nahisi wangeenda kwenye open space wakafanyia huko jogging zao.
 
Hapo watu wanachukua picha na kuanzisha NGO za kuwatapeli wazungu.
Ni dili la wachache hilo
Ndo mnavyodanganyana kahawani kuwa wazungu wanamwaga pesa kizembe namna hiyo!? Ingekuwa hivyo hata wewe si ungeanzisha kikundi cha kukimbia ukapiga pesa! Piga kazi na upunguze chuki/ujuaji, uendeshaji wa NGO ni mgumu zaidi ya uendeshaji wa familia yako na muheshimu sana mtu anayefanikiwa kuwashawishi wafadhiri wakampa mamilioni, siyo rahisi na usirudie kufananisha NGO na upuuzi wa kukimbia ovyo barabarani kama mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…