Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #61
Wanajeshi huwa wanafanya route match, hawatumii njia zilizo busy. Wakitoka Kunduchi wanapiga maboda hadi BagamoyoJe usha wai kukutana na Wanajeshi nao wakiwa wanafanya mazowezi yao barabarani!? Au una muataki Kitenge tu!!??
Ukitaka kula ngomosi za kila aina na za kila rangi nenda Kili Marathon 🏃Ni sahihi. Pamoja na hiko kinachoitwa "marathon"
Unatafuta cheap popularityShida yetu wabongo ndio hii.. Tushamiliki KA-IST tuu tayar tunaona barabara zote za lami, changarawe na vumbi ni kwa ajili yetu tuu. Watembea kwa miguu wapite misituni wakiwa wanaenda makwao.
#Nina shida na pesa.
Kukimbia barabarani ni kujichora,kwanza huwezi hata ku -concentrate na mazoeziKatika watu nawaona hawana akili ni mtu anayeacha maeneo mahususi yaliyotengwa kwa ajili ya michezo ( kwenye viwanja vya michezo) kwenda kukimbia kwenye barabarani zilizotengenezwa kwa ajili ya vyombo vya moto.
Kwenye sheria za barabarani hakuna kifungu kinachoruhusu watu kwenda kufanyia mazoezi barabarani. Hawa watu ilitakiwa hata wakigongwa wakabahatika kupona wao ndiy washitakiwe mahakamani . Tukiacha ujinga kuendelea huu ipo siku watu wataenda kufanyia mazoezi ya mpira barabarani
anayetembea na anayekimbia kando ya barabara wote wanavuta hewa chafu. vilevile abiria tunaokaa ndani ya magari tunavuta hewa chafu pia.Pia si salAma kiafya,unakuwa unavuta mamoshi ya magari na mavumbi
IwenaaaaaUbuntu botho
Vieite au ma range?Wanawake wanataka waonwe na ma Vieite...