Serikali imeacha kutoa fungu la elimu bure? Kwanini hii shule iwalipishe wanafunzi mifuko mitatu ya saruji?

Serikali imeacha kutoa fungu la elimu bure? Kwanini hii shule iwalipishe wanafunzi mifuko mitatu ya saruji?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Londoni ya manispaa ya Songea amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuanzisha utaratibu wa kuwataka wanafunzi kuripoti shule na mifuko mitatu ya saruji bila wazo hilo kupitishwa katika utaratibu wa vikao vya shule na wazazi.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas kufanya ziara ya kustukiza shuleni hapo.
 
Kuna shule maarufu sana kwa kawaida inachukua wanafunzi 80 TU kwasababu ina madarasa mawili

Mwaka huu wamepelekewa wanafunzi 115 na serikali tena kwa barua ya ORDER

Baada ya siku 3 wakatumiwa tena barua ya kuwataka wapokee wanafunzi 10

Madarasa hayatoshi, Mabweni hayatoshi pia lakini order imetoka TAMISEMI

Kama wewe ni Mkuu wa Shule ungefanyahe Sheikh? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom