Kuna shule maarufu sana kwa kawaida inachukua wanafunzi 80 TU kwasababu ina madarasa mawili
Mwaka huu wamepelekewa wanafunzi 115 na serikali tena kwa barua ya ORDER
Baada ya siku 3 wakatumiwa tena barua ya kuwataka wapokee wanafunzi 10
Madarasa hayatoshi, Mabweni hayatoshi pia lakini order imetoka TAMISEMI
Kama wewe ni Mkuu wa Shule ungefanyahe Sheikh? 🤣🤣🤣