Yan umeniwahi eti serikali hii hii ya akina Samia na MwiguluSerikali ipi yenye uchungu na raia wake
Gepu lililo wazi amechagua kufidia kwa kujifurahisha na Kuka Enenrgy.Kuna jamaa kabla ya kubeba tofali lazima ashitue na Kuka kidogo, yaani muda wote ana chupa yake ya eneji kaijaza kuka.
Ni hatari Sana ukizingatia hata kula vizuri hawali, mtu anakula mkate na Azam cola ya 600 halafu anachukua Pombe Kali.
Sijui ni ukose wa Elimu au vipi
Kwani pombe ni LAZIMA watumie?Wanaongeza maushuru kwenye bia kila siku inawabidi watu wa kipato cha chini walowengi wanywe hizo smart gin, visungura jobo vodka na dabo kiki
Hali ni mbaya sana visungura vinamaliza hili taifa kwa sasa vifo ni vingi sana.
Nawasilisha
Ni maisha jomba ugumu wa maisha hupelekea vijana kutumia bidhaa za unafuuKuna jamaa kabla ya kubeba tofali lazima ashitue na Kuka kidogo, yaani muda wote ana chupa yake ya eneji kaijaza kuka.
Ni hatari Sana ukizingatia hata kula vizuri hawali, mtu anakula mkate na Azam cola ya 600 halafu anachukua Pombe Kali.
Sijui ni ukose wa Elimu au vipi
Amesahau watu walipigwa masasi na samuya akakili njia iliyotumika ilikua sahihi.Serikali ipi yenye uchungu na raia wake
Ikishalolea huwa inakua worse huwesi kuachaKwani pombe ni LAZIMA watumie?
Acheni POMBE zikose SOKO, zife kifo cha ASILI.