Serikali imeamua vijana wafe kwa kunywa dabo kiki, jobo na visungura?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Wanaongeza maushuru kwenye bia kila siku inawabidi watu wa kipato cha chini walowengi wanywe hizo smart gin, visungura jobo vodka na dabo kiki

Hali ni mbaya sana visungura vinamaliza hili taifa kwa sasa vifo ni vingi sana.

Nawasilisha
 
Kuna jamaa kabla ya kubeba tofali lazima ashitue na Kuka kidogo, yaani muda wote ana chupa yake ya eneji kaijaza kuka.

Ni hatari Sana ukizingatia hata kula vizuri hawali, mtu anakula mkate na Azam cola ya 600 halafu anachukua Pombe Kali.
Sijui ni ukose wa Elimu au vipi
 
Gepu lililo wazi amechagua kufidia kwa kujifurahisha na Kuka Enenrgy.

Kuna sehemu hisia zake zimezikwa na alikosa mbadala.
 
Wanaongeza maushuru kwenye bia kila siku inawabidi watu wa kipato cha chini walowengi wanywe hizo smart gin, visungura jobo vodka na dabo kiki

Hali ni mbaya sana visungura vinamaliza hili taifa kwa sasa vifo ni vingi sana.

Nawasilisha
Kwani pombe ni LAZIMA watumie?

Acheni POMBE zikose SOKO, zife kifo cha ASILI.
 
Ni maisha jomba ugumu wa maisha hupelekea vijana kutumia bidhaa za unafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…