Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amechemsha kabla ya kuanza!! Ila anasema watahamasisha, hajasema watalazimisha!! Akitaka aiombe serikali itoe waraka rasmi wa kulazimisha!! Kitu ambacho hakiwezekani!! Huo mtiti hauwezekani kabisa!! Mkuu wa mkoa si mtunga sera, bali ni msimamizi mkuu wa sera zinavyotekelszwa katika mkoa wake na anapimwa kwa hilo!!Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao.
Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa
Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali "kuhamasisha" watumishi wote wa serikali kuchanja. Hii kauli ni kama vile muendelezo wa kuamplify kidogokidogo hatua za kuwalazimisha watu kuchanja.
Binafsi ninasema, Suala la chanjo ni la Afya ya mtu binafsi, serikali haina haki ya kumlazimisha mtu kinachoingia katika mwili wake hasa kama ana wasiwasi na Matokeo ya kitu hicho
Pia rais alishasema kuwa chanjo ni hiyari, sasa sitegemei kuona tunalazimishana. Kama serikali itaanz kulazimisha watu kuchanja hii maana yake ni kuwa itakuwa imemfanya rais aonekane Muongo!
Najua serikali inataka hela kutoka kwa Mabeberu, lakini hela isiwe sababu ya kulazimishana.
WENYE KUTAKA CHANJO WACHANJE, NA WASIOTAKA TUSILAZIMISHANE!
Nimekosea ila kusudio ilikuwa mil 5 mkuuDar Kuna watu karibia laki 5? Au ulitaka kusema milioni 5??
Johnson Unachoma Mara Moja Inakaribia Kuchacha Kutokana Muda. Sasa Mzigo Mpya Kutoka China Million 2Ila hali ngumu, maana juzi Msigwa kasema laki 4 tu ndiyo wamechanja, lakini dsm tu kuna watu karibia laki 5.....bado mwamko ni mdogo sana
Kwa sasa Dar watu ni Milioni 11+Dar Kuna watu karibia laki 5? Au ulitaka kusema milioni 5??
MKUU wa MKOA wa MBEYA ametangaza Chanjo ni Nyumba kwa NyumbaInavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao.
Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa
Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali "kuhamasisha" watumishi wote wa serikali kuchanja. Hii kauli ni kama vile muendelezo wa kuamplify kidogokidogo hatua za kuwalazimisha watu kuchanja.
Binafsi ninasema, Suala la chanjo ni la Afya ya mtu binafsi, serikali haina haki ya kumlazimisha mtu kinachoingia katika mwili wake hasa kama ana wasiwasi na Matokeo ya kitu hicho
Pia rais alishasema kuwa chanjo ni hiyari, sasa sitegemei kuona tunalazimishana. Kama serikali itaanz kulazimisha watu kuchanja hii maana yake ni kuwa itakuwa imemfanya rais aonekane Muongo!
Najua serikali inataka hela kutoka kwa Mabeberu, lakini hela isiwe sababu ya kulazimishana.
WENYE KUTAKA CHANJO WACHANJE, NA WASIOTAKA TUSILAZIMISHANE!
Yes ndo ivyo.Watugee vyeti vya chanjo tu maisha yaende lakini wasitulazimishe kuchanja
Ikibidi iwe lazima kuchanja Ili tusiambukizane na tusiendelee kuwa kwenye red line afu uchumi wa nchi unaanguka.Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao.
Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa
Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali "kuhamasisha" watumishi wote wa serikali kuchanja. Hii kauli ni kama vile muendelezo wa kuamplify kidogokidogo hatua za kuwalazimisha watu kuchanja.
Binafsi ninasema, Suala la chanjo ni la Afya ya mtu binafsi, serikali haina haki ya kumlazimisha mtu kinachoingia katika mwili wake hasa kama ana wasiwasi na Matokeo ya kitu hicho
Pia rais alishasema kuwa chanjo ni hiyari, sasa sitegemei kuona tunalazimishana. Kama serikali itaanz kulazimisha watu kuchanja hii maana yake ni kuwa itakuwa imemfanya rais aonekane Muongo!
Najua serikali inataka hela kutoka kwa Mabeberu, lakini hela isiwe sababu ya kulazimishana.
WENYE KUTAKA CHANJO WACHANJE, NA WASIOTAKA TUSILAZIMISHANE!
Ila hali ngumu, maana juzi Msigwa kasema laki 4 tu ndiyo wamechanja, lakini dsm tu kuna watu karibia million 5.....bado mwamko ni mdogo sana
Hangaya Leo kapigilia msumari Hilo suala, anasema anaunga mkono chanjo nyumba kwa nyumbaWakilazimisha chanjo serikali inaweza kuanguka
Na amesisitiza ni hiyari.Hangaya Leo kapigilia msumari Hilo suala, anasema anaunga mkono chanjo nyumba kwa nyumba