Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.

PIA SOMA
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

- Enzi za Hayati Magufuli alikuwa analipa mshahara mpaka tarehe 19 awamu hii vipi?

UPDATE:
TAARIFA HII IMEHAKIKIWA NA JAMIICHECK NA KUBAINI KUWA HAINA UKWELI. SOMA:

- SI KWELI - Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
 
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Nimeshapokea wa kwangu karibu unakwisha
 
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Mdau kwani mshahara huwa mnalipwa Tarehe ngapi?
 
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Wafanyabiashara wamegoma.
 
Back
Top Bottom