Tetesi: Serikali imefunga kompyuta za wahasibu na HR wote wa serikali nchi nzima

Twilumba mvaha....aleee twilumba sana mkibaba!!Nguluvi ikutange
Gendelege uludodifu ulukafu luladenyeka!!Wimbite sana imambo gakupyatila,ndiwona wishuka nondo wita gendalyena lilikukungwi liyena elaa
 
Wazee wa kukodolea mishahara kwa simbanking mna wasiwasi sana
Yaani kuajiliwa wakati mwingine ni kama "kautumwa" fulani hivi.Usihofu ngalelefijo salary itawahi July
Kiongoz vp kuhusu cc tuliokuwa na ajira mpya tukasimamishwa kuna tumaini lolote hadi kufika mwisho wa mwez huu wa saba
 
Twilumba mvaha....aleee twilumba sana mkibaba!!Nguluvi ikutange
Gendelege uludodifu ulukafu luladenyeka!!Wimbite sana imambo gakupyatila,ndiwona wishuka nondo wita gendalyena lilikukungwi liyena elaa

Hahaaaa Nyongisa sana mvina barafu!
nano ndiona mvina (No.1) itegula sana va kukaye!
 
Bila shaka hawa watakuwa Wataalam uchwara.

Wazee wa kukodolea mishahara kwa simbanking mna wasiwasi sana
Yaani kuajiliwa wakati mwingine ni kama "kautumwa" fulani hivi.Usihofu ngalelefijo salary itawahi July
Hata shuguri zako binafsi kuna utumwa, kuna shuguri illi upate pesa lazima ufungue muda flani, mfano kuna watu wamejiajili wenyewe ila inawabidi wakeshe ili kupata pesa. Labda inategemea hatua aliyofikia mtu, kuna watu wameajiliwa na wanakula nchi vizuri wala hamna shida, wapo waliojiajili wako vizuri wala hawahangaiki sana.
 
Kwahiyo computer za serikali zote kila wanacho kifanya huwa kinaonekana HQ ya magogoni?

Ndiyo ...... zamani zilikuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu, mwaka huu ziko chini ya ofisi ya rais, kila voucher ya malipo inayofanyika ni lazima ionekane.
 
Duuuuh. we mkali. source ni RAFIKI?
 
Hahaaaa Nyongisa sana mvina barafu!
nano ndiona mvina (No.1) itegula sana va kukaye!
Eena...Mnyakaye aitegula sana vanyalukolo va kukaye...Yaani aipilimapilima ku vanyamumo!!Inoo twigita ndauli?pe imadaraka gakwe?Tusindilage palubali helaaa myaaaa
 
Hahaaaa Nyongisa sana mvina barafu!
nano ndiona mvina (No.1) itegula sana va kukaye!
Hizo stori mngepiga huku rosti ya nyama ilee ikiwa mezani na ulanzi kiasi ingenoga sana.
Eena...Mnyakaye aitegula sana vanyalukolo va kukaye...Yaani aipilimapilima ku vanyamumo!!Inoo twigita ndauli?pe imadaraka gakwe?Tusindilage palubali helaaa myaaaa
 
Bila shaka hawa watakuwa Wataalam uchwara.

Hahahahaha

Kwan kufeed information hizo hutumia siku ngapi?

Server hizo kwanini zisirushe taarifa hizo kama updating of application kama kwenye simu na laptop?

Kama ni matumiz kwanini wasiweze kuona kazi za kila siku wakati wanatumia server moja?
Au ndio uchwara

Twilumba njoo
 
Eena...Mnyakaye aitegula sana vanyalukolo va kukaye...Yaani aipilimapilima ku vanyamumo!!Inoo twigita ndauli?pe imadaraka gakwe?Tusindilage palubali helaaa myaaaa
Haka ka-mbwa katawatosheni kweli nyie wote?
 
MKUU LINAWEZA ATHIRI SALARY YA JULY?

Hakuna athari kwa mishahara ya July kwani hadi kufikia katikati ya mwezi huu Mfumo utakuwa umeshaanza kufanya kazi kwenye Council nyingi hasa zile ambazo zilikamilisha marekebisho ya Bajeti na kuwasilisha TAMISEMI mapema. Pia kwa sasa Mishahara inalipwa moja kwa moja toka hazina
 
Nadhani mdau katoa majibu sahihi kabisa.Mods kwa heshma na taadhima mgepandisha majibu ya mdau ili kukidhi kiu ya wasomaji wa bandiko hili.
 
Nimekuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…