kaka ustanie uraian kugumu mno nafaham ugumu wake mi pia muhitimu! lakini mwaka jana si uliona walivyozinguliwa tupo field/btp ndo wakatukuta ila mwaka huu inaweza kuwa disaster coz kuna kitu kura ya maoni yakatiba inahitaji mipesa kemkem.....
Tuvumilie kiongozi wangu panapo majaaliwa wizara itacheka