Serikali imefuria

Serikali imefuria

kuwa na subira tarehe 1 mwez wa2 kuripoti mi npo karibu sana na naibu waziri wa elimu mteuliwa
 
kaka ustanie uraian kugumu mno nafaham ugumu wake mi pia muhitimu! lakini mwaka jana si uliona walivyozinguliwa tupo field/btp ndo wakatukuta ila mwaka huu inaweza kuwa disaster coz kuna kitu kura ya maoni yakatiba inahitaji mipesa kemkem.....
Tuvumilie kiongozi wangu panapo majaaliwa wizara itacheka
 
heading yako inaonyesha wewe pamoya na serekali yako mmefulia.
 
heading yako inaonyesha wewe pamoya na serekali yako mmefulia.

jamani si mlimsikia CAG,hadi akiishauri serikali itafute vyanzo vingine vya mapato,kuwa hali ya kipesa serikalini ni mbaya sana,jamani tuwe tunasikiliza habari na kusoma magazeti.
 
Back
Top Bottom