Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini)

Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?

Biashara ya kitambo sana hii wayback 2010+ na watu wamepiga ndefu sana kwenye hii biashara sasa hivi imeshakuwa kama mazoea
 
Simuombi direct, hiyo itaonekana ni intention, najifanya nimekosea njia huku nasikilizia ata-respond vipi....akitulia tu naanza kuchochea
Kukosea njia ni kisingizio huwa tunajua kabisa mnafanya kusudi. Why usimwambie kabla? Ukute na yeye anapenda
 
Issue inakuja kwa nini mwanaume mwingine amzibue mkeo ili hali nawewe unaweza, Ila ni noma sana hizi habari
Tatizo mnakuwa waoga, feel free kushare fantasy zako na mke wako. Unavyofata kwa malaya hata mkeo anaweza kukupa, tatizo mnajifanya watakatifu kumbe deep inside mnatamani mambo mazuri😅😅
 
Naam safari moja huanzisha nyingine
 
Kukosea njia ni kisingizio huwa tunajua kabisa mnafanya kusudi. Why usimwambie kabla? Ukute na yeye anapenda
Kama hapendi na akisema kwa wazazi au mshenga??? maana wanawake wengine ni wehu....Kuna mmoja alienda mpaka kwa wazazi wa jamaa kushtaki kwamba jamaa analazimisha kuruka ukuta
 
Tatizo mnakuwa waoga, feel free kushare fantasy zako na mke wako. Unavyofata kwa malaya hata mkeo anaweza kukupa, tatizo mnajifanya watakatifu kumbe deep inside mnatamani mambo mazuri😅😅
Ni fedheha ku-expose fantasy zako alafu kumbe mwenza wako hapendezewi nazo na ndio maana tuna-hide our inner behaviour, tunajaribu kuzionyesha katika mlengo wa kukosea ili kama mwenza hazipendi inakuwa ni rahisi kuji-defend kama hatuhusiki nazo.

Ukweli ni kuwa pia kuna wanawake wengi wanaoficha fantasy zao kama wafanyavyo wanaume, Ila mkikutana ambao mnapenda hiyo michezo ndo inakuwa burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…