Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

20241229_072538.jpg
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
 
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Kwani anaishi wapi huyo mtu!
 
Vitu vingine vya kipumbavu kabisa sasa huo mdahalo una faida gani kwa taifa hadi uruhusiwe kufanyika tena kwenye uwanja wa mpira ambao unapaswa kua kwenye hali nzuri kwa ajili ya mashindano yajayo 🤔🤔 mijadala kama hiyo haipaswi kuruhusiwa inaletaga chuki tuu kati ya watu na ukitegemea mtu mwenyewe huyo aliealikwa ni gaidi lenye misimamo mikali serikali ingepiga marufuku tuu huo upuuzi
 
Hili ni jambo la kawaida kwa Awamu ya 6, kama ilivyokuwa Awamu ya pili!
Vuumilieni sindano iwaingie.
MTANIKUMBUKA
 
Hakuna uhusiano baina ya Yesu kristo na Mohamed, huo mdahalo una ajenda ovu ya kueneza chuki za kidini na ugaidi. Watanzania hatukubaliani na mdahalo huo, serikali iupige marufuku. Lakini kwa kuwa serikali inaongozwa na wa dini hiyo hawawezi kuona HATARI YA KURUHUSU jambo baya kama hilo.
 
Vitu vingine vya kipumbavu kabisa sasa huo mdahalo una faida gani kwa taifa hadi uruhusiwe kufanyika tena kwenye uwanja wa mpira ambao unapaswa kua kwenye hali nzuri kwa ajili ya mashindano yajayo 🤔🤔 mijadala kama hiyo haipaswi kuruhusiwa inaletaga chuki tuu kati ya watu na ukitegemea mtu mwenyewe huyo aliealikwa ni gaidi lenye misimamo mikali serikali ingepiga marufuku tuu huo upuuzi
Viongozi wa nchi hii wakishakuwa waislamu ni majanga kwa taifa. Huwaambii kitu kuhusu waislamu wenzao hata kama ni magaidi, serikali yetu itawakaribisha na kuwapa hadhi ya juu.
 
Huwa nashangaa sana hawa wahubiri wanao toka nje kuja kufundisha dini na imani, kwanza mawasilisho yao hayaeleweki kwa urahisi kwa sababu ya lugha zao, pili hapa nchini kuna waalimu na wahubiri na wataalamu wa hizo imani vipi tumeshindwa kuwasikiliza wao hadi wa nje waje watulinganie dini.

Hakujawahi kuwa na faida ya moja kwa moja kutoka kwa watu hao kamwe.
 
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Uganda kwenye wakiristo wengi kaenda na wanaoenda kanisani kila siku, seuze weye hata kanisani hukujui unakuja na utumbo huu.
 
N
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Nenda ukasikilize inshallah utasilimu
 
India ni nchi ya wahindu, waislam ni chini ya Milion 300 katika watu Bilion moja na nusu, na kuna chuki kubws ya wahindu kwa waoslam, kwa Dr. Zakir Naik kupewa kesi ya ugaidi ni issue ya kisiasa tu haimaanishi kwamba kweli ni Gaidi ni kama kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Nelson Mandela ilivyokuwa, huyu ni mhubiri wa Dini ni mtu wa midahalo, anaishi Malaysia na wala hakuna Diplimatic Querels baina ya India na Malaysia kwasabab yake. Tanzania ni nchi ambayo haina dini ila wananchi wake wana dini na wana uhuru wa kuabudu. Zanzibar ni nchi ya waislam wengi, kwa Dr. Zakir Naik kufika huko haipaswi kuwa agenda kubwa ya kushupaza shingo. Kila mtu ana uhuru wa kuabdu na kufuata anachoona ni sahihi, kama mijdala ya huyu Dr. Zakir haikuvutii au inakukera haipaswi kukushughulisha kama ambavyo mie niliachaga kumfuatilia.
 
Kwanini huko malaysia hawapati matatizo mpaka kafika hapa bongo kapita transist ngapi hajakamatwa wacheni kujitia wasi wasi kwa mambo yasiyo wahusu!
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
 
Back
Top Bottom