Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Hana impact yoyote kwenye jamii pia maoni ya watu na malalamiko yamebadili mtazamo wa kwanza kuhusu huo ugeni kwani sasa sio mdaharo ila ni muhadhara.Uganda kwenye wakiristo wengi kaenda na wanaoenda kanisani kila siku, seuze weye hata kanisani hukujui unakuja na utumbo huu.
Sijui kwanini jamii ya kikristo unamuhofia japo binafsi sikuwa nimepemdezwa kuwa mdaharo na hakuna mtu mwingine anayefanya naye mdaharo toka upande wa kikristo.
Nilimpigia simu yule shehe anayeratibu nikamuomba aniweke ili ni debate naye akakataa akasema sio mdaharo ni Mhadhara.