Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Safi sana!Usichokijua ni kwamba huyo Yesu anatambulika kwenye uislamu,
Wahubiri kama kina Mazinge wamekua wakifanya midahalo ya aina hiyo kwa miaka mingi ila hatujaona vurugu au watu kufa,ila kule Moshi walikufa watu 20 kwa kukanyagana kugombea mafuta,
Issue si mnaongelea amani?
Sasa kama Yesu anaongelewa kwenye uislamu kwa nini ninyi waislamu hamtaki kukiri kwamba YESU KRISTO ni bwana na mwokozi wenu?