Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwani kunajadiliwa nini kwenye hayo mahubiri ambacho hujenga chuki?Wewe una matatizo na sidhani kama una uelewa mzuri.Hapa kinachokwaza Watu ni Serikali kurasimisha mahubiri ya chuki.kwani jf ni Serikali?mbona midahalo hiyo ya kijinga ipo mingi tu huko vijiweni,Watu tunasimama tunasikikiliza tunaenda zetu hatujalalamika.
