Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa jibu moja. Je naweza kupewa kibali kumhuburi Yesu Uarabuni ? Je, Zanzibar tu naweza kupewa ardhi ya kujenga Kanisa? Nikinyimwa sio chuki ya kidini ?Waathirika wakubwa wa matendo ya boko haramu ni waisilam hata wale wanafunzi wa choboko waliotekwa %70 ya wanafunzi hao walikuwa waisilam.
Kwa hiyo hapo kuna chuki gani dhidi ya dini nyingine?
Mimi shida yangu iko sehemu moja tu; Jesus anahusika vipi na hiyo shughuli yao?Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Nifafanue nini na Watu wake wenyewe huko India hawamtaki,wanamuona ni Mchochezi?.kwamba sisi ndio tupo smart sana tusiwaamini India?.Anahubiri vipi 'chuki'?!..hebu fafanua
kula tanoMimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.
Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Serikali yetu kwa namna inavyotutendea ni kama wanafanana na huyo.Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
yale mamidahalo ya kipuuzi ya kina mazinge, kinyogoli na wapuuzi wengine yalianzia hapo. Ni kama ya mpuuzi huyu anayesakwa na india kwa madhambi yakeHili ni jambo la kawaida kwa Awamu ya 6, kama ilivyokuwa Awamu ya pili!
Vuumilieni sindano iwaingie.
MTANIKUMBUKA
Hakuna anayepambana na chochote, hata ushoga, drugs, ujambazi imeshindikana kumaliza, sembuse dini. Lakini ukweli uko wazi uislam una chuki na dhamira mbaya kwa ukristo kwa vitendo, sheria na mafundisho ya Quran. Mkristo hatakiwi kulalamika au akijieleza, ataambiwa ni sheria zao. Wakiuana kwenye nchi zao za kiislam,, wanakimbilia nchi hizo hizo wanazoita makafiri wala nguruwe na mashoga.Yeye natumaini dini nyingine. Waislamu pia wanaomwamini Yesu kubwa mtumishi wa Mungu/mtume wa Mungu. Hivyo si shida kumuweka hapa. Tatizo wengi wetu tunaogopa uislamu na kuuwazia mabaya. Dini hiyo ni ibrahamic religion. Ni mpango wa Mungu kama ilivyo kwa uyahudi na ukristo. Hakuna awezaye kuifuta au kuipunguza. Usipambane na kitu ambacho utakufa na utakircha kikiendelea kustawi. Uislrmu hsuhubiri chuki, achilia mbali waislamu wachache wakihubiri chuki, ni wao na siyo imani nzima.
mbona we unajibu maini hatusemi kitu?Uganda kwenye wakiristo wengi kaenda na wanaoenda kanisani kila siku, seuze weye hata kanisani hukujui unakuja na utumbo huu.
Mkuu huna uhakika kama ni Gaidi ama sio Gaid, usihitimishe!India ni nchi ya wahindu, waislam ni chini ya Milion 300 katika watu Bilion moja na nusu, na kuna chuki kubws ya wahindu kwa waoslam, kwa Dr. Zakir Naik kupewa kesi ya ugaidi ni issue ya kisiasa tu haimaanishi kwamba kweli ni Gaidi
Hujui ugaidi waislamu wameusambaza sana kupitia Dini? Refer Tanzania na Kenyahuyu ni mhubiri wa Dini ni mtu wa midahalo,
Hoja ya Muhusika ni issue ya Kidiplomasia, Ungejibu kama kidiplomasia inaleta shida ama lakama mijdala ya huyu Dr. Zakir haikuvutii au inakukera haipaswi kukushughulisha kama ambavyo mie niliachaga kumfuatilia.
duh! Mpaka maustaadh wanampinga ndugu yao wa imaan hii kaliPumbafuuu Kabisa Huyo gaidi anakuja kufanya Nini Kwetu,,Mambo ya Yesu Sijui Mohammad yanatusaidia Nini Sisi!??? please Serikali kataeni upuuuzi Huo..Kazi kuingilia Dini za Watu Tuu.Tuache ..Takataka Hiyo hatuitaki Hapa.
Jesus au Yesu kristo ni tofauti kabisa na mtume wao wanaomtambua kama Issa bin Marium. Wao wamulinganishe huyo na mtume MohamedKwahiyo mkuu unataka waislamu wasimzungumzie Jesus japo wanamtambua kama mtume kwao?