Kwani anaishi wapi huyo mtu!Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Hili ni jambo la kawaida kwa Awamu ya 6, kama ilivyokuwa Awamu ya pili!Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Viongozi wa nchi hii wakishakuwa waislamu ni majanga kwa taifa. Huwaambii kitu kuhusu waislamu wenzao hata kama ni magaidi, serikali yetu itawakaribisha na kuwapa hadhi ya juu.Vitu vingine vya kipumbavu kabisa sasa huo mdahalo una faida gani kwa taifa hadi uruhusiwe kufanyika tena kwenye uwanja wa mpira ambao unapaswa kua kwenye hali nzuri kwa ajili ya mashindano yajayo 🤔🤔 mijadala kama hiyo haipaswi kuruhusiwa inaletaga chuki tuu kati ya watu na ukitegemea mtu mwenyewe huyo aliealikwa ni gaidi lenye misimamo mikali serikali ingepiga marufuku tuu huo upuuzi
Mnashangilia mitano Tena! Tulieni dawa iwaingie vizuri.Viongozi wa nchi hii wakishakuwa waislamu ni majanga kwa taifa. Huwaambii kitu kuhusu waislamu wenzao hata kama ni magaidi, serikali yetu itawakaribisha na kuwapa hadhi ya juu.
Hivi ugaidi ni nini maana yake?!Viongozi wa nchi hii wakishakuwa waislamu ni majanga kwa taifa. Huwaambii kitu kuhusu waislamu wenzao hata kama ni magaidi, serikali yetu itawakaribisha na kuwapa hadhi ya juu.
Kwanini huko malaysia hawapati matatizo mpaka kafika hapa bongo kapita transist ngapi hajakamatwa wacheni kujitia wasi wasi kwa mambo yasiyo wahusu!Kwa sasa anaishi uhamishoni/ukimbizini Malaysia.
Uganda kwenye wakiristo wengi kaenda na wanaoenda kanisani kila siku, seuze weye hata kanisani hukujui unakuja na utumbo huu.Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Nenda ukasikilize inshallah utasilimuNimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??Kwanini huko malaysia hawapati matatizo mpaka kafika hapa bongo kapita transist ngapi hajakamatwa wacheni kujitia wasi wasi kwa mambo yasiyo wahusu!