Serikali imekanusha madai ya uwapo wa kodi kandamizi kwa wafanyabiashara bali imetengeneza kodi rafiki

Mkuu, huwezi kujua hivi vitu ukiwa mtu wa maneno tu. Ingia kwenye biashara uone.
hawawezi elewa hao kula kwa shemeji na kulala sebuleni kwake huwezi jua,kikokotoo cha mauzo ghafi ndiyo shida wakati Kodi kwa kawaida Ni sehemu ya faida.
 
Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.

Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.

Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.

Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Yaani sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali....
Uchumi wa kati...
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...

Unayajua mavieitee wewe!!!

Sisi tunatembelea mavieitee na serikali ipo sawa kodi ziongezwe
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi.

Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa Serikali katika kufanya marekebisho ya kodi iweze kuendana na hali ilivyo.

Naibu Waziri huyo wa fedha, amesema Serikali haitozi kodi kandamizi na wala haifikirii kufanya hivyo kwa wananchi na wafanyabiashara wake.

Majibu ya Naibu Waziri yamekuja wakati wabunge wamekuwa wakipiga kelele kwa wiki nzima wakilalamikia kodi kubwa wanazotozwa wafanyabiashara na Mamlaka ya Kodi (TRA).

Kwenye michango yao, wabunge hao walisema mfumo unaotumika kukadilia na kudai kodi siyo rafiki kwa wafanyabiashara na wawekezaji.
Bodi ya mikopo nayo je, wakati waliokopeshwa si wafanyabiashara
 
Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.

Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.

Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.

Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Ni mapato yapi yanayojenga nchi?hata mkiongeza kodi 50% hakuna litakalofanyika,ndio mana deni la taifa linazidi kukwea mnazi , rasilimali zikitengenezewa mpango mzuri na kuvutia wawekezaji kwa wingi mambo yatakuwa mazuri, hatuihitaji shilingi tunahitaji pesa za kigeni kwa wingi
 
nawewe unaaamini kwamba mapato yote yanaibiwa na magufuli!!! [emoji16][emoji16][emoji16].

kuna kutokufikiri
halafu kuna kufikiri vibaya.

ni afadhali usifikiri kabisa, kuliko kufikiri vibaya.
 
Kiukweli kodi ni rafiki sana tu ila watz hatuna uzalendo wa kulipa kodi tukubali hvo
Wewe unaelewa kodi inayozungumzwa hapa?? Au unaropoka tu.Elewa kodi zipo nyingi hapa ziko foleni kama 6au7 hivi.Wewe kwa akili yako unadhani ni VAT hii ya 18%. Peke yake.Kama kitu huelewi kaa kimya au uliza ueleweshwe.
 
Hakuwa hata na mfano wa kodi kandamizi? Au kauliza swali kutimiza tu wajibu?

Amandla...
 
Wewe unaelewa kodi inayozungumzwa hapa?? Au unaropoka tu.Elewa kodi zipo nyingi hapa ziko foleni kama 6au7 hivi.Wewe kwa akili yako unadhani ni VAT hii ya 18%. Peke yake.Kama kitu huelewi kaa kimya au uliza ueleweshwe.

Mzee mfanyabiashara analipa kodi zifuatazoa kwa TRA
1. Income tax
2. VAT kama ni registered
3. Withholding tax (Landlords)
4. PAYE & SDL
5. Custom tukuache coz hata kama hufanyi busn kama utafanya importation laxma custom ulipie.

Makampuni mengi wapo VAT (account case) hawa wanalipa kodi nyingi sana coz nmefanya nao sana kazi.. no1-5 huwa inawahusu baadhi ya kampuni

Watz wengi tunalipa income tax na VAT baadhi ila (presumptive ni wengi) ndo hawa wanaolalama kodi kubwa sijui wewe mkuu upo kundi gani me kwangu naona kodi nafuu na biashara zangu zinaenda fresh tu
 
Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi.
Mpango yu wapi?
 
Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.

Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.

Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.

Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
TRA utawajua tu, hawawezi hata kuficha aibu yao.
 
Kiukweli kodi ni rafiki sana tu ila watz hatuna uzalendo wa kulipa kodi tukubali hvo

Kwahiyo kwa kubisha huku maana yake hakuna

mpango wa kurekebisha hizi kodi.

Mitano tena tafadhali!
Hiyondiyo maana yake,viongozi wetu wanamsikiliza nani hasa? Wananchi wakipaaza sauti zao kuhusu kodi kandamizi wanawapinga,wakilia corona wanapingwa kuwa ni shida ya upumuaji,wakilalamikia ukubwa wa mfumuko wa bei wanaambiwa umedhibitiwa huku bidhaa hazinunuliki,tukilia mishahara haitoshi vingozi wanajibu kuwa mishahara huwa haiwatoshi hata wao bila kuzingatia tofauti ya mishahara wanayojilipa wao kulinganisha na wanaolipwa kima cha chini.Hakuna ajuaye njaa ama mateso
 
Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.

Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.

Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.

Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Mkuu, una fanya shughuli gani inayoendesha maisha yako? Labda tuanzie hapo kwanza. Maanake unawazungumzia hadi mabepari wakati mfumo mzima wa kukusanya kodi tume copy kutoka kwao.
 
nawewe unaaamini kwamba mapato yote yanaibiwa na magufuli!!! [emoji16][emoji16][emoji16].

kuna kutokufikiri
halafu kuna kufikiri vibaya.

ni afadhali usifikiri kabisa, kuliko kufikiri vibaya.
Kwa hiyo wewe umeamua kutokufikiri kabisa?
 
Kwani wewe Naibu Waziri huwaamini hata CCM wenzako? Nape na Msukuma wamesema namna maduka/biashara zinavyofungwa, mtu anadaiwa mpaka kupewa au kutishiwa kesi za uhujumu uchumi. Kwa hiyo mtaamini mpaka biashara zote mjini zikishingwa?

Leo hii ukiienda dukani kununua bidhaa, mfanyabiashara yupo tayari urudishe bidhaa kuliko akupe listi ya EFD yenye bei halali. Vinginevyo aandike bei pungufu kabisa. Hata hilo hamlioni au hamjawahi sikia? Lazima kuna tatizo sehemu fulani tunapofikia hatua wafanyabiashara wanadanganya kiasi hicho.

Mzigo wa Milioni 3 listi unaandika 300,000/-. Hebu Serikali isijibu kisiasa na kurahisisha mambo. Fuatilieni hayo yanayosemwa na wabunge kupitia vyombo vinavyoaminika kama Usalama wa Taifa mpatapa majibu sahihi. Asante
Unajua ingekuwa kila mtu mpaka muuza nyanya sokon angekuwa na mashine ingekuwa fresh tu ila sasa wewe unatoa risiti halafu unanunua mtaan bila risiti. Watu wengi pale kariakoo wamearudisha frem wamekuwa machinga halafu wanauza mzigo ule ule bila risiti. Ukifikiria hii nchi ina vilaza wasiojitambua. Hiv ukiuzia mzigo nje na ukiuzia dukan kuna tofauti gan. Mi nina mmachinga mmoja nimempangia store analipa laki 6 kwa mwez kaweka mizigo yake. Lakin ni mmachinga analipa tu elfu 20 basi imagine. Mi cjui hili linchi linakoelekea.
 
utaelewa siku mkianza kuombwa 50k kila mwezi.
 
Koho... Wakati utafika ambapo hapatakuwa na ng'ombe wa kumkamua damu... Labda hapo ndo wataamua kuutambua ukweli.
 
Back
Top Bottom