hawawezi elewa hao kula kwa shemeji na kulala sebuleni kwake huwezi jua,kikokotoo cha mauzo ghafi ndiyo shida wakati Kodi kwa kawaida Ni sehemu ya faida.Mkuu, huwezi kujua hivi vitu ukiwa mtu wa maneno tu. Ingia kwenye biashara uone.
Yaani sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali....Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.
Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.
Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.
Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Bodi ya mikopo nayo je, wakati waliokopeshwa si wafanyabiasharaNaibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi.
Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa Serikali katika kufanya marekebisho ya kodi iweze kuendana na hali ilivyo.
Naibu Waziri huyo wa fedha, amesema Serikali haitozi kodi kandamizi na wala haifikirii kufanya hivyo kwa wananchi na wafanyabiashara wake.
Majibu ya Naibu Waziri yamekuja wakati wabunge wamekuwa wakipiga kelele kwa wiki nzima wakilalamikia kodi kubwa wanazotozwa wafanyabiashara na Mamlaka ya Kodi (TRA).
Kwenye michango yao, wabunge hao walisema mfumo unaotumika kukadilia na kudai kodi siyo rafiki kwa wafanyabiashara na wawekezaji.
Ni mapato yapi yanayojenga nchi?hata mkiongeza kodi 50% hakuna litakalofanyika,ndio mana deni la taifa linazidi kukwea mnazi , rasilimali zikitengenezewa mpango mzuri na kuvutia wawekezaji kwa wingi mambo yatakuwa mazuri, hatuihitaji shilingi tunahitaji pesa za kigeni kwa wingiWafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.
Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.
Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.
Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
nani katekwa kwenye hili!!!!!Kwanini nguvu kubwa inatumika kuficha kila jambo.
nawewe unaaamini kwamba mapato yote yanaibiwa na magufuli!!! [emoji16][emoji16][emoji16].Ni mapato yapi yanayojenga nchi?hata mkiongeza kodi 50% hakuna litakalofanyika,ndio mana deni la taifa linazidi kukwea mnazi , rasilimali zikitengenezewa mpango mzuri na kuvutia wawekezaji kwa wingi mambo yatakuwa mazuri, hatuihitaji shilingi tunahitaji pesa za kigeni kwa wingi
Wewe unaelewa kodi inayozungumzwa hapa?? Au unaropoka tu.Elewa kodi zipo nyingi hapa ziko foleni kama 6au7 hivi.Wewe kwa akili yako unadhani ni VAT hii ya 18%. Peke yake.Kama kitu huelewi kaa kimya au uliza ueleweshwe.Kiukweli kodi ni rafiki sana tu ila watz hatuna uzalendo wa kulipa kodi tukubali hvo
Wewe unaelewa kodi inayozungumzwa hapa?? Au unaropoka tu.Elewa kodi zipo nyingi hapa ziko foleni kama 6au7 hivi.Wewe kwa akili yako unadhani ni VAT hii ya 18%. Peke yake.Kama kitu huelewi kaa kimya au uliza ueleweshwe.
Mpango yu wapi?Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi.
Ni kweli,kodi hazina shida,wafanyabiashara ndo wakorofi kama hawataki kulipa,wachukuliwe hatua kali sana,ikiwemo kutaifishwa..
TRA utawajua tu, hawawezi hata kuficha aibu yao.Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.
Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.
Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.
Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Kiukweli kodi ni rafiki sana tu ila watz hatuna uzalendo wa kulipa kodi tukubali hvo
Kwahiyo kwa kubisha huku maana yake hakuna
Hiyondiyo maana yake,viongozi wetu wanamsikiliza nani hasa? Wananchi wakipaaza sauti zao kuhusu kodi kandamizi wanawapinga,wakilia corona wanapingwa kuwa ni shida ya upumuaji,wakilalamikia ukubwa wa mfumuko wa bei wanaambiwa umedhibitiwa huku bidhaa hazinunuliki,tukilia mishahara haitoshi vingozi wanajibu kuwa mishahara huwa haiwatoshi hata wao bila kuzingatia tofauti ya mishahara wanayojilipa wao kulinganisha na wanaolipwa kima cha chini.Hakuna ajuaye njaa ama matesompango wa kurekebisha hizi kodi.
Mitano tena tafadhali!
Mkuu, una fanya shughuli gani inayoendesha maisha yako? Labda tuanzie hapo kwanza. Maanake unawazungumzia hadi mabepari wakati mfumo mzima wa kukusanya kodi tume copy kutoka kwao.Wafanyabiashara sasa wasitake kuyumbisha serikali. Wapo wabunge wafanyabiashara wameanza ubinafsi kujiwakilisha binafsi na wako wabunge vibaraka wanatumikishwa na wafanyabiashara.
Tusijekuyumba makusanyo makubwa ya kodi ndio yanasababisha mapato haya yanayotumika vizuri kujenga nchi. Tusisahau ubepari ni unyama kama tulivyofundishwa enzi za ujamaa wa azimio la arusha.
Kabla ya ccm kuamua kutumia sekta binafsi kujenga ujamaa bila shaka walitafakari na kujua njia pekee ni kudhibitiwa ubepari na umma kusudi kupitia kodi serikali iweze kukidhi haja ya maendeleo kwa umma.
Hawa kina nappe wasituchanganye kodi ziko rafiki na zinalipika ila ndio ile upepari ni unyama na ubinafsi lazima kudhibitiwa ili kama nchi sote twende mbele.
Kwa hiyo wewe umeamua kutokufikiri kabisa?nawewe unaaamini kwamba mapato yote yanaibiwa na magufuli!!! [emoji16][emoji16][emoji16].
kuna kutokufikiri
halafu kuna kufikiri vibaya.
ni afadhali usifikiri kabisa, kuliko kufikiri vibaya.
Unajua ingekuwa kila mtu mpaka muuza nyanya sokon angekuwa na mashine ingekuwa fresh tu ila sasa wewe unatoa risiti halafu unanunua mtaan bila risiti. Watu wengi pale kariakoo wamearudisha frem wamekuwa machinga halafu wanauza mzigo ule ule bila risiti. Ukifikiria hii nchi ina vilaza wasiojitambua. Hiv ukiuzia mzigo nje na ukiuzia dukan kuna tofauti gan. Mi nina mmachinga mmoja nimempangia store analipa laki 6 kwa mwez kaweka mizigo yake. Lakin ni mmachinga analipa tu elfu 20 basi imagine. Mi cjui hili linchi linakoelekea.Kwani wewe Naibu Waziri huwaamini hata CCM wenzako? Nape na Msukuma wamesema namna maduka/biashara zinavyofungwa, mtu anadaiwa mpaka kupewa au kutishiwa kesi za uhujumu uchumi. Kwa hiyo mtaamini mpaka biashara zote mjini zikishingwa?
Leo hii ukiienda dukani kununua bidhaa, mfanyabiashara yupo tayari urudishe bidhaa kuliko akupe listi ya EFD yenye bei halali. Vinginevyo aandike bei pungufu kabisa. Hata hilo hamlioni au hamjawahi sikia? Lazima kuna tatizo sehemu fulani tunapofikia hatua wafanyabiashara wanadanganya kiasi hicho.
Mzigo wa Milioni 3 listi unaandika 300,000/-. Hebu Serikali isijibu kisiasa na kurahisisha mambo. Fuatilieni hayo yanayosemwa na wabunge kupitia vyombo vinavyoaminika kama Usalama wa Taifa mpatapa majibu sahihi. Asante
utaelewa siku mkianza kuombwa 50k kila mwezi.Unajua ingekuwa kila mtu mpaka muuza nyanya sokon angekuwa na mashine ingekuwa fresh tu ila sasa wewe unatoa risiti halafu unanunua mtaan bila risiti. Watu wengi pale kariakoo wamearudisha frem wamekuwa machinga halafu wanauza mzigo ule ule bila risiti. Ukifikiria hii nchi ina vilaza wasiojitambua. Hiv ukiuzia mzigo nje na ukiuzia dukan kuna tofauti gan. Mi nina mmachinga mmoja nimempangia store analipa laki 6 kwa mwez kaweka mizigo yake. Lakin ni mmachinga analipa tu elfu 20 basi imagine. Mi cjui hili linchi linakoelekea.