Serikali imekosa ubunifu, inachofikiri ni kuongeza kodi tu

Yani jamaa wanakamua ng'ombe bila hata kumpa chakula cha kutosha.
 
You have a point,good ideas.
 
Msururu wa mavyeo ya uteuzi ambayo hayana tija zaidi ya kukomba pesa za umma kupitia mishahara na posho kubwa kubwa na magari ya kifahari yanaitwisha serikali mzigo mkubwa na kuishia kuhamishia mzigo kwa wananchi kupitia kodi zinazotozwa kila pahala...
 
Nakubaliana na wewe, bado hatunaviongozi wenye dira kabisa

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
USHAURI NI MZURI SANA KWA WAPINZANI ILA KWA CCM HII UTAITWA BEBERU MKUU
 
Muhimu pia ni kupunguza informal sector isiyolipa kodi.. Ie taxi bubu, boda boda, mama ntilie, machinga,mafundi binafsi na biashara nyinginezo ziwe rasmi kwenye mfumo wa serikali wa kulipa kodi.
 
Muhimu pia ni kupunguza informal sector isiyolipa kodi.. Ie taxi bubu, boda boda, mama ntilie, machinga,mafundi binafsi na biashara nyinginezo ziwe rasmi kwenye mfumo wa serikali wa kulipa kodi.
Kodi ikiwa ndogo ni rahisi sana kurasimisha informal sector kuwa formal sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…