Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali imendelea kuweka taa za barabarani katika maingilio ya majiji na miji nchini ili kuimarisha usalama. Serikali imeweka jumla ya taa 4,880 za barabarani kwenye barabara zenye urefu wa kilometa 772.2 za majiji na miji kwenye mikoa 26 kwa bajeti ya shilingi bilioni 15,81 kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama