Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Mara ya kwanza Dar kusikia mchuuzi anatangaza 'Dagaa MCHELE, DAGAA MCHELE' nilijuaga hapo yupo anauza dagaa pamoja na mchele 🤭🤭, braza wacha anicheke😂😂😂
Hivi hao ndo haohao ambao Tanga wanaitwa uono sijui????