Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
483-4838328_refrigerator-truck-hd-png-download.jpg


4X2-Isuzu-10-Ton-Refrigerated-Truck-with-Cooling-System-Freezer.jpg
 
Back
Top Bottom