Serikali imepiga marufuku shule binafsi kulipisha karo kwa mfumo wa Dola

Serikali imepiga marufuku shule binafsi kulipisha karo kwa mfumo wa Dola

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
Kufuatia kushamiri kwa matumizi ya dola ya Marekani Nchini, katika nyanja mbalimbali, kwa mfano sasa hivi shule nyingi binafsi zimeendelea kulipisha wazazi karo za shule kwa njia dola.

Leo katika kipindi cha maswali na majibu, Serikali imepiga marufuku shule binafsi kupanga karo zao kwa mfumo wa dola.

Pia kwa upande wa vyuo vya Serikali imesema kupitia TCU itatoa karo elekezi kwa Vyuo vyote binafsi na vile vya Serikali.
 
Mbna wamechelewa sasa!! Hii serikali ya Tanzania ni Ndoroooobo nini!!!
 
Back
Top Bottom