Serikali imeruhusu wenye C mbili kusoma A level kama QT?

Serikali imeruhusu wenye C mbili kusoma A level kama QT?

Jielimishe kwanza maana ya QT
Mtu aliyefika form 4 atasomaje QT?

QT ni Qualifying Test, ni mtihani maalum ambao anaufanya mtahiniwa aliye nje ya mfumo rasmi wa elimu ya sekondari ili kutoa tathmini kama anaweza kufanya mtihani wa kidato cha nne ama la.

Anayefaulu mtihani huo huruhusiwa kufanya mtihani wa kawaida wa kidato cha nne kama mtahiniwa binafsi.

Kwa hiyo QT ni mtihani maalum na sio mfumo.

Kuhusu C mbili kuruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ni uongo.
Sifa za school candidate ndio hizo za private candidate
 
Back
Top Bottom