Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

Hili swala liko kisiasa zaidi

Serikali ikiwazuia, Upinzani unapata platform ya kuwatetea, hivyo serikali imeona tuharibikiwe wote.

Ila ni bomu kubwa sana twatengeneza.

Wakisema wazuie zisiingie mauaji na uporaji wa pikipiki utashamiri
 
Boda boda na machinga ni jeshi litakaloweza kuipindua serikali siku zijazo. Viongozi wenyewe wako maofisini, wana-enjoy maisha hawajali chochote. Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea.
 
Back
Top Bottom