Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

Hayo ni matumizi ya nguvu bila akili.Nchi bado inachangamoto alafu unateketeza fedha kwa makosa yanayoweza kuwekewa utaratibu.Hapo hasara inaenda kwa nchi kwa kukosa ushuru na ajira kwa vijana.Ila kwa afrika sishangai maana akili zetu zina wigo wakufikiri na kutenda.
 
Boda boda na machinga ni jeshi litakaloweza kuipindua serikali siku zijazo. Viongozi wenyewe wako maofisini, wana-enjoy maisha hawajali chochote. Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea.
Kuna sheria za RIOTS , hakuna kitu serikali haiwezi kufanya kwa wanao kiuka sheria.
 
Kuna sheria za RIOTS , hakuna kitu serikali haiwezi kufanya kwa wanao kiuka sheria.
Akili za ndezi hizi. Mtu kama husomi hata vitabu utajulia wapi historia ya tawala mbali mbali, tena zilizokuwa na sheria kali za RIOT kuliko sheria za motoni!
 
SI kwamba serikali iwazuie, ila walazimishwe kufuata sheria za barabarani. Kuto kufuata sheria ndiko kunaleta ajari nyingi na kusababisha vifo na walemavu wengi.
Mbona Zanzibar wanafuata sheria?
 
Back
Top Bottom