Tanzania au Ulaya?Boda boda na machinga ni jeshi litakaloweza kuipindua serikali siku zijazo. Viongozi wenyewe wako maofisini, wana-enjoy maisha hawajali chochote. Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea.
Ulaya hakuna bodaboda.Tanzania au Ulaya?
Kuna sheria za RIOTS , hakuna kitu serikali haiwezi kufanya kwa wanao kiuka sheria.Boda boda na machinga ni jeshi litakaloweza kuipindua serikali siku zijazo. Viongozi wenyewe wako maofisini, wana-enjoy maisha hawajali chochote. Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea.
Bodaboda Nigeria zinafumika kufanya uhalifu ndio maana zinapigwa chini.View attachment 2475010
Wenzetu Nigeria wasiocheka na nyani!
Bodaboda ni kero, side mirrors kuvunjwa, kukwaruzwa barabarani, hata wizi wa kushtukiza.
Serikali iamke toka usingizi wa pono!
Hakuna anae wasimamia tatizo rushwaHwa wasio na ajira hawataki kufuata sheria, siyo kwamba wanaonewa.
Kutokuwa na ajira siyo leseni ya kutofuata sheria hasa za barabarani.
Akili za ndezi hizi. Mtu kama husomi hata vitabu utajulia wapi historia ya tawala mbali mbali, tena zilizokuwa na sheria kali za RIOT kuliko sheria za motoni!Kuna sheria za RIOTS , hakuna kitu serikali haiwezi kufanya kwa wanao kiuka sheria.
Watakuambia hawa ni wapiga kura wetuView attachment 2475010
Wenzetu Nigeria wasiocheka na nyani!
Bodaboda ni kero, side mirrors kuvunjwa, kukwaruzwa barabarani, hata wizi wa kushtukiza.
Serikali iamke toka usingizi wa pono!
Hao wapiga kura kero!Watakuambia hawa ni wapiga kura wetu