A
Anonymous
Guest
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani.
Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili upewe hiyo laki 6.
Wakatupa barua tukasaini, sasa hivi tena mheshimiwa Waziri Ridhiwan Kikwete amesema hizi microfinance ziongeze mishahara, badala waongeze wametupandishia target kutoka milioni 20 hadi 30 na kuna ambao mpaka 40, 50, 60.
Wanasema hawaongezi pesa, sasa ndugu yangu walichoambiwa watuongezee target au mishahara?
Kwa nini wanatukandamiza Wafanyakazi?