A
Hawa jamaa washanitumia meseji kama 200 hivi kwa namba ngeni!Nasikia mnawasumbua sana watumishi na mameseji yenu ya mikopo kumbe mnataka mfikishe target 20m ndio mlipwe 600k
Aisee mna njaa sana
Pole mimi ningekuwa mtumishi ni mitusi na kuwapiga tofali!Hawa jamaa washanitumia meseji kama 200 hivi kwa namba ngeni!
Sjui wanatuchukuliaje, riba yenyewe 42% kama sikosei
Sometimes unawastahi tu!Pole mimi ningekuwa mtumishi ni mitusi na kuwapiga tofali!
HakikaWamekosea Minimum wage order, haijaweka hivyo vigezo,
-Sheria haijasema hivyo,Wako sahihi mkuu, wao ilinwakulipe mshahara naonwapate faida, lazima uvuje jasho.
Shida serikali wao ni WANAROPOKA ila uhalisia hawaujui.
Hiyo kampuni kama vipi ingekuwa inatoa mkataba wa kulipana kwa percentage tu nadhani ingekuwa poa, mshahara wako haupo costant inategemea na unachochangia kwenye kampuni.
Kuna sheria na uhalisia..-Sheria haijasema hivyo,
-Kama mtu akiwa na utendaji usioridhisha Kuna mbinu za kufanya kasome Code of Good Practice.