Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pengine hana vyeti ila anatumia uzoefu alionao baada ya kuajiriwa kwa kutumia vyeti feki
 
Wewe ndio umeongea point.
Hakuna haja ya kuharibiana ili mwingine apate ugali.
Tanzania hatujafikia huko
 
Mwendazake a.k.a shujaa wa Africa alikuwa na PhD feki ili tulitaka tumbakize Ikulu hadi 2050.
Mimi sijamwongelea Mwendazake, Huyo ameshakufa

Ninachohoji ni maamuzi ya Serikali kurudisha watu wasio na vyeti halali serikalini

Huu ni Ujinga na Upumbavu
 
Hao waliorudishwa sio vyeti feki bali ni wa darasa la saba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi nafikiri inaongozwa na watu wenye mtindio wa ubongo,
Huku Raisi anatoa matamshi ya udhalilishaji kuhusu dada zetu wacheza Mpira,kwamba Wana matiti yaliolala kwahiyo hawana mvuto,huku waziri wa fedha anasema asiyeweza kulipa tozo aende Burundi.
Hili limama la Ikulu na mimacho yake ya kulegeza,siku hizi linanikela mpaka naona kinyaa kama nimeona kinyesi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pengine hana vyeti ila anatumia uzoefu alionao baada ya kuajiriwa kwa kutumia vyeti feki
Ndio mkuu. Kuna watu humu jf hawajui kutofautisha formal na informal education.
Mfano dereva kaendesha magari ya Halmashauri kwa miaka zaidi ya 10 ila kaishia la saba unasemaje hana elimu?

Ule uzoefu nao ni sehemu ya elimu.
 
Slavery mentality!
 
Baada 2025 kuna watu watafungwa
 
Sukuma Gang
 
Acha upumbavu,mlifukuza wazee kana kwamba ni wezi eti vyeti feki kumbe ni darasa la saba.

Vijana Wana nguvu watafute pesa
 
Haki gani uliyonayo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…