Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

Acha ubaguzi.Ni halali kuonea mtu kisa umri? Kama umesoma elimu haijakusaidia. Soma sheria za mahusiano kazini upate maarifa. Acha umagufoool!
 
Kwa Tanzania ukiiba na kuanzisha kampuni unaitwa shujaa. Ajira kwa upendeleo imeanza zamani. Wanaorudishwa ni hao walio ajiriwa kwa upendeleo wakati sifa walikuwa hawana, zaidi ya kuwa ndugu wa fulani.
 
Rais ingilia kati, haiwezekani mtu alikuwa na vyeti feki unamrudisha kazini, hii si sahihi.

Kwa wale wa darasa la saba wenye vyeti ambavyo ni halali kurudishwa kazini ni sahihi, hao warudishwe ila wa vyeti feki hapana, siungi mkono.
 
Akiwemo Magofool mwenye PhD feki.
 
Walionewa waache wamalizie mda wao
 
Rais ingilia kati, haiwezekani mtu alikuwa na vyeti feki unamrudisha kazini, hii si sahihi.

Kwa wale wa darasa la saba wenye vyeti ambavyo ni halali kurudishwa kazini ni sahihi, hao warudishwe ila wa vyeti feki hapana, siungi mkono.
Vyeti feki lakini Wana experience na wanamichango yao nssf waacheni warudi nyie subirieni ajira mpya
 
Unafahamu deffensive mechanism wewe? Kama hujui kaa kimya.
 
Hii kitu tuiangalie kwa pande mbili.
1.Wale waliotolewa kazini kwa tuhuma za vyeti feki. Waliunganishwa na ndugu za ambao bado Wako kwenye mfumo/Serikalini, hivyo hawakupendezwa na suala hilo.
2. Ni rahisi kuwawalipa mshahara,ukilinganisha kuajiri watumishi wapya. Mfano degree holder mshahara wake ni mkubwa sana, ukilinganisha na mwl/mtumishi aliyena cheti feki.
NB. Kipaumbe Tz sahizi ni kukusanya Tsh nyingi iwezekavyo bila kuangalia side effect. Hivyo ni bora kurudisha mwl/watumishi wa zamani ili kupunguza gharama za kuwalipa misha..ra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…