Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

Wanaotaka bodaboda zipigwe marufuku njia kuu na katikati ya jiji.

  • Wanaotaka wapigwe marufuku

    Votes: 6 54.5%
  • Wasiotaka wapigwe marufuku

    Votes: 5 45.5%
  • wasiojua

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    11

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1710234760314.png

1710234909716.png

1710235180704.png

Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.

Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi.

Wanasiasa kwa kutoelewa wamechukulia huduma ya bajaj na bodaboda kuwa mtaji wa kisiasa, na hata Rais Samia amediriki kuwaita ati ni maafisa usafirishaji.

Mimi sipingi kuweo kwao usafiri huu, bali nakomalia UDHIBITI wa huduma yao.

Matatizo makubwa yako hivi
1. Hawafuati sheria za barabarani tena wote, bodaboda na bajaj
2 wanapakia abiria kupita uwezo wa chombo
3. Bodaboda hawavai safety helmets, viatu na jackets
4. Bajaj na bodaboda chafu kuruhusiwa kungia katikati ya Jiji
5.Vyomb hivyo kuendeshwa kwa spidi kubwa katikati ya Jiji
6. Polisi hawana uwezo wa kuwachukulia hatua yoyote, hata wakifanya kosa mbele ya pua zao
7. Bodaboda kupakia kama abiria hata watoto wadogo sana wasio na uwezo kujishikilia
8. Bodaboda au bajaj ku overtake kushoto mwa gari iliyoko mbele yake
9. Baja na bodaboda kuendesha kinyume ya maelekezo ya barabara, yaani nchi hii ni Left Hand Drive, utaona wao wanakuja mbele yako wakiendesha Right Hand Drive.
10 Baja na bodaboda kuendesha hata sehemu za waenda kwa miguu.

Haya ni machache tunayoyaona kwa hawa maafisa safirishaji wa kisiasa.
Matokeo yake, kukiuka sheria za barabarani kwa makusudi kabisa, nenda MOI Muhimbili na kushuhudia miguu inayokatwa kila siku.

SERIKALI amkeni, mnatuletea janga la wananchi vilema.
Polisi wanaweza kulishughulikia tatizo hilo, kama serikali ikiondoa ganzi iliyowapiga kisiasa kuwaachia hawa watu waendelee kuua/kujiua barabarani.

NB
Shiriki kura hapo juu
 
Sisi watumiaji wa bodaboda hatufiki mjini bila bodaboda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji24]

USSR
 
Bodaboda ni mtaji wa wanasiasa hawa watu wapo barabarani Kwa nguvu ya mwanasiasa..
Kwa mfano Leo serikali inaweza kutangaza hatua Kali dhidi ya bodaboda utashangaa kesho wanaibuka wanasiasa wa chama kingine wakipinga huku wakijifanya wapo pamoja bodaboda, hii ni nchi ya kifala Sana

Ukitaka heshima barabarani uwe na gari kubwa yenye ngao hapo bodaboda wote watapita mbali na wewe
 
Wanasiasa wantuletea kero barabarani!
Halfu wao wanpita na ving'ora li tuwapishe.
 
View attachment 2932559
View attachment 2932562
View attachment 2932565

Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.

Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi.

Wanasiasa kwa kutoelewa wamechukulia huduma ya bajaj na bodaboda kuwa mtaji wa kisiasa, na hata Rais Samia amediriki kuwaita ati ni maafisa usafirishaji.

Mimi sipingi kuweo kwao usafiri huu, bali nakomalia UDHIBITI wa huduma yao.

Matatizo makubwa yako hivi
1. Hawafuati sheria za barabarani tena wote, bodaboda na bajaj
2 wanapakia abiria kupita uwezo wa chombo
3. Bodaboda hawavai safety helmets, viatu na jackets
4. Bajaj na bodaboda chafu kuruhusiwa kungia katikati ya Jiji
5.Vyomb hivyo kuendeshwa kwa spidi kubwa katikati ya Jiji
6. Polisi hawana uwezo wa kuwachukulia hatua yoyote, hata wakifanya kosa mbele ya pua zao
7. Bodaboda kupakia kama abiria hata watoto wadogo sana wasio na uwezo kujishikilia
8. Bodaboda au bajaj ku overtake kushoto mwa gari iliyoko mbele yake
9. Baja na bodaboda kuendesha kinyume ya maelekezo ya barabara, yaani nchi hii ni Left Hand Drive, utaona wao wanakuja mbele yako wakiendesha Right Hand Drive.
10 Baja na bodaboda kuendesha hata sehemu za waenda kwa miguu.

Haya ni machache tunayoyaona kwa hawa maafisa safirishaji wa kisiasa.
Matokeo yake, kukiuka sheria za barabarani kwa makusudi kabisa, nenda MOI Muhimbili na kushuhudia miguu inayokatwa kila siku.

SERIKALI amkeni, mnatuletea janga la wananchi vilema.
Polisi wanaweza kulishughulikia tatizo hilo, kama serikali ikiondoa ganzi iliyowapiga kisiasa kuwaachia hawa watu waendelee kuua/kujiua barabarani.
Binafsi sina tu mamlaka.
Lkn ningepiga marufuku kabisa uwepo wa hizo kero.
Wanasababisha foleni zisizo za lazima, wana matusi, hawana adabu, kwa ujumla ni kundi lisilofaa kabisa kuwepo ktk jamii
 
Hata Mimi ningekuwa na mamlaka kitu cha Kwanza kupiga marufuku ni bodaboda
 
Binafsi sina tu mamlaka.
Lkn ningepiga marufuku kabisa uwepo wa hizo kero.
Wanasababisha foleni zisizo za lazima, wana matusi, hawana adabu, kwa ujumla ni kundi lisilofaa kabisa kuwepo ktk jamii
Hawa wanasiasa hawajui tu kuwa wantukwaza sana.
 
Solution ni moja tu. Kuunda mfumo,hasa maeneo ya mjini.

1. Kila pikipiki inayofanya kazi hiyo itambulike.
2. Kila anaefanya kazi hiyo,awe na uwezo huo. Kupanga na kupangua gia,si kigezo cha kuweza kuendesha. Hapa naongelea vyuo vya kufundisha. Pia na umri uzingatiwe. Haiwezekani itoto la miaka 13 ukute linaendesha na kubeba abilia.
3. Iwekwe miundo mbinu(camera),za kudhibiti spidi kubwa. Hili likiwa gumu,basi wauzaji wa boda,wawekewe sharti la speed kwa pikipiki za kubeba abilia.

Rwanda,k nchi jirani. Ukiandikiwa faini,hakuna anaekufata kulipa. Utajiongez mwenyewe ulipe.
4. Traffic Police, wasiwe wa kuchukua hela tuuu,wawe rafiki,waelimishe waendesha vyombo. Mtu anamkwepa,mwishoe anasababisha aingie au apite kusikopitika,na anaishia kugongwa tu
 
Mleta mada acha hizo tafuta hela

Sisi abiria hatulalamiki wewe na kigari chako used kilichookotwa majalalani Japan unaleta za kuleta hapa

Si abiria wa bodaboda na bajaji tunaona sawa tu
 
Wamechelewa tayari,washafeli
Kabla ya kuruhusu pikipiki hizi kuingia nchini kwa uwingi na zitumike kama usafiri wa abiria
Walitakiwa wazitungie sheria,na kuziwekea taratibu!

Ova
 
True lakini kwa kasi ambayo vijana wanakatwa miguu kutokana na ajali, serikali inabidi iamke tu na kutunga sheri zanazo wabana bodaboda/bajaj.
 
Hii changamoto iko kila mahali aise,ukienda Benin bongo yenyewe inasubiri
Suala la usalama kwa watumiaji wa vyombo hivi wao wenyewe waajitambue,ila inavyoonekana kama serikali ishawachoka maana hawaambiliki hawasiki
Kuna traffic mmoja huko chamazi anawatandika sana mikanda bodaboda wasiyofata sheria za barabarani...
Bodaboda yaani wako kama mangombe

Ova
 
View attachment 2932559
View attachment 2932562
View attachment 2932565

Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.

Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi.

Wanasiasa kwa kutoelewa wamechukulia huduma ya bajaj na bodaboda kuwa mtaji wa kisiasa, na hata Rais Samia amediriki kuwaita ati ni maafisa usafirishaji.

Mimi sipingi kuweo kwao usafiri huu, bali nakomalia UDHIBITI wa huduma yao.

Matatizo makubwa yako hivi
1. Hawafuati sheria za barabarani tena wote, bodaboda na bajaj
2 wanapakia abiria kupita uwezo wa chombo
3. Bodaboda hawavai safety helmets, viatu na jackets
4. Bajaj na bodaboda chafu kuruhusiwa kungia katikati ya Jiji
5.Vyomb hivyo kuendeshwa kwa spidi kubwa katikati ya Jiji
6. Polisi hawana uwezo wa kuwachukulia hatua yoyote, hata wakifanya kosa mbele ya pua zao
7. Bodaboda kupakia kama abiria hata watoto wadogo sana wasio na uwezo kujishikilia
8. Bodaboda au bajaj ku overtake kushoto mwa gari iliyoko mbele yake
9. Baja na bodaboda kuendesha kinyume ya maelekezo ya barabara, yaani nchi hii ni Left Hand Drive, utaona wao wanakuja mbele yako wakiendesha Right Hand Drive.
10 Baja na bodaboda kuendesha hata sehemu za waenda kwa miguu.

Haya ni machache tunayoyaona kwa hawa maafisa safirishaji wa kisiasa.
Matokeo yake, kukiuka sheria za barabarani kwa makusudi kabisa, nenda MOI Muhimbili na kushuhudia miguu inayokatwa kila siku.

SERIKALI amkeni, mnatuletea janga la wananchi vilema.
Polisi wanaweza kulishughulikia tatizo hilo, kama serikali ikiondoa ganzi iliyowapiga kisiasa kuwaachia hawa watu waendelee kuua/kujiua barabarani.

NB
Shiriki kura hapo juu
Watakuwa mtaji wa kura za ccm mwakani hao
Nakushauri urejee maneno ya lema juu ya jambo hili.
Nilishangaa pale kwenye taa za makumbusho bodaboda alipita mbele ya trafiki huku akiwa anaendesha boda akiwa amesimama bila kushika usukani
 
Back
Top Bottom